Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Nyie hapana kwakweli!😅😅 Kupigwa sitaaa.. aiseee kweli hapo mnaonewaaa.. ila na sie wa min second vipi ?
Nyie hapana kwakweli!😅😅 Kupigwa sitaaa.. aiseee kweli hapo mnaonewaaa.. ila na sie wa min second vipi ?
Hmm hili ni pepo Aiseee😅😅 Ukweli natamani hata kuku anavo Chelsea kumaliza..
Vijana wavivu hawa🙌🏾Halafu walio wengi wanatetea kabao kamoja, sijui kulikoni
Na sie watu lakini 🫣Nyie hapana kwakweli!
🙂🙂 Kwani kumaliza Kwa second mbili Kuna shidooHmm hili ni pepo Aiseee
AiseeKaongea ukweli ambao wengi huwa hawausemi!
Sasa kama nmepiga zangu moja nimeridhika na mwenzangu karidhika hayo mengine ya nini?
Hapo ni kulala ili kutunza energy ya kufikiria hela.
Alafu mwanamke unaweza kumpiga hata 10 kumbe yeye anaona unamchosha tu.
Cha muhimu ni je, hayo 10 yanamsaidia nini?
Unapiga 10 alafu hata kileleni hajafika ya kazi gani sasa?
Mi siwezi tu hata kama hamna shida huko kwenu🫢🙂🙂 Kwani kumaliza Kwa second mbili Kuna shidoo
Mtu si nyauNa sie watu lakini 🫣
Acha ujinga ukikua utaacha...Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.
Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.
Hivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.
Huyu Aunt ivi ameshajaribu wasukuma wala ugali wa dona kweli?
Wadada msiwe mnageneralize hao wa bao moja ni hukohuko tu.
Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.
Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.
UGALI UNAONGEZA NGUVU ZA KIUME HASWA, NIKIWA KANDA YA ZIWA GEITA KIPINDI HICHO, KUNA MATANDA YA VYAKULA, PALE UWANJA WA KALANGALALA ASEE, NILIMALIZA KULA UGALI TU MSHEDESE UNA SIMAMA BALAAA MPAKA NAONA AI U LABDA KAMA WALIKUA WANAONGEZA DAWA ULE UGALI NI WA DONAUgali hauongezi nguvu za kiume.
Maisha ni kurudhikaMi siwezi tu hata kama hamna shida huko kwenu🫢
Sitakii😏Maisha ni kurudhika
Eeh! Basi sie tumeridhika na mini second zetu 😅😅.. Tumechagua na tunayaishiSitakii😏
Kila la kheri wenye vijisekunde vyenu!Eeh! Basi sie tumeridhika na mini second zetu 😅😅.. Tumechagua na tunayaishi
Kila la kheri, mnaopewa sita 😅Kila la kheri wenye vijisekunde vyenu!