Fact tutawagongea wake zenu mpaka basiMambo ya kupiga bao 3 mpaka 6 huo ni umasikini, matajiri na watu walioridhika na maisha goli 1 latosha. Akili na nguvu nyingi zitumike kutafuta maisha sio kwenye ngono. Ila waafrika kuna sehemu tulilaaniwa mtu anakamia kabisa magoli 6 , basi ndio maana life span ya waafrika ni kati 50 -60, wakati mataifa wengine 70-80 kiurahisi tu, tumeendekeza sana ngono.😀😀😀😀
Watu wa mikoani wengi bado ni mazombie sana kama wewe.Hivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.
Huyu Aunt ivi ameshajaribu wasukuma wala ugali wa dona kweli?
Wadada msiwe mnageneralize hao wa bao moja ni hukohuko tu.
Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.
Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.
Umeoa msukule huyo mkeo ni mjinga kama ulivyo wewe hana kazi za kufanyaKwako tu hata sisi tumeoa ila hatupigi bao kama la kuku sec tu chali
Ukiona mtu anajisifu kulala na mke wa mtu ujue akili zake zipo makalioni na mwisho atakufa maskiniFact tutawagongea wake zenu mpaka basi
Jifunze kwanza hata kuandika tuSisi atuwezi kuacha kuzichakata eti kisa mkeo, mtu mzima hashikiwi fimbo akija geto lazima apigwa bao za kutosha.
We kuweza?Kwanini??
Mwanangu tuko pamoja, ukiikula Kila siku hata Hilo bao Moja unaenda muda mrefu, Siri Iko hapo ndiomaana tunawala kimoja Cha afyaNi ukweli usiopingika kwenye ndoa bao moja linatosha. Mimi huwa namfanya kila siku bao moja!
😅😅 Kupigwa sitaaa.. aiseee kweli hapo mnaonewaaa.. ila na sie wa min second vipi ?Wanawake tunavumilia mengi jamn
😅😅 Ukweli natamani hata kuku anavo Chelsea kumaliza..Hadi wewe!!! Kwahiyo smoothie yetu haifanyi jambo lolote😁
Halafu walio wengi wanatetea kabao kamoja, sijui kulikoniSisi atuwezi kuacha kuzichakata eti kisa mkeo, mtu mzima hashikiwi fimbo akija geto lazima apigwa bao za kutosha.