Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Ukiishi na mtu daily hamuwezi kuwekana goli tatu sijui tano.

Japo kuna siku mnakuwa na vibe ila sio kila mara.

Ngono za kupanga miadi/appointment ndio mnakamiana maana wote mna nyege hamjakutana wiki-mwezi ama miezi 😋
Uko sahihi sana mkubwa, mwenyewe siwezi hizo goli 5 sjui ngapi hatuna mashindano ila nakuhakikishia dakika sjui min second siwezi😒
 
Unagongewa bila kujua
Wewe bado hujakua endelea kukua sio ligi umewahi kuishi na kitu ambayo mwanzo uliitamani sana kua nayo na kuitumia ila baada ya kuizoea ukaichukulia kawaida tu, sasa wewe kumaipo tu pale kila siku mwaka mzima miezi yote bao 5 sijui 6 au 7 unamkomoa nani? Hujawahi kujiuliza kwanini packet 1 ya Condom zipo Condoms 3 tu sio zaidi ya hapo au haujawahi kujiuliza?
 
Hayo mazoea ndio huharibu ndoa nyingi sana, hio kitu haina cha mazoea pigiza mzeee
 
Hayo mazoea ndio huharibu ndoa nyingi sana, hio kitu haina cha mazoea pigiza mzeee
Mfano unalima cabbage au nyanya wewe utaona matumizi ya cabbage 5 mpaka 7 ndani ya siku 1 ndio ujanja au kutumia tenga 5 mpaka 7 kwa matumizi yako binafsi ndio ujanja yaan unalikomoa shamba lako au sio?
 
Sasa mtu namuweka almost 4days kwa wiki, unadhani hilo bao moja ni dakika tano. The more unavyofanya ngono the more unavyokuwa na stamina. Bao moja la 45mins anakojoa na kukojoa, linamtosha kabisa.
Ukienda kwa mwanamke wa nje mpya ambaye hujawahi kulala nae, napo inachukua dakika 45?
 
Back
Top Bottom