Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Uko sahihi sana mkubwa, mwenyewe siwezi hizo goli 5 sjui ngapi hatuna mashindano ila nakuhakikishia dakika sjui min second siwezi😒
Dk5 naamini anakuwa hajagusa kale kadude vizuri😄😄😄
 
Hivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.

Huyu Aunt ivi ameshajaribu wasukuma wala ugali wa dona kweli?

Wadada msiwe mnageneralize hao wa bao moja ni hukohuko tu.

Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.

Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.

"Inna da too hot ,i cum likka like ina hot pot slam gyal two times mi jus ge float ,dats why mi lov A-city weda si don wi mi bway stackin' togeda in da concert mi gi dem fleva ,mi ina i don lov bongo fleva' - Stoppa Styles tatu.
 
Wala chips

Wala chips tutawagongea wake zenu tu maana show hamwezi
Sasa ukimgonga Mke wa mtu ndiyo sifa? Hao unaowagonga ni malaya tu na wala si kwamba hawaridhishwi ndani ,mwanamke anayejiheshimu hata asipogongwa hawezi kutoka nje ya ndoa ,sisi tumekaa na watu wanaojisifu wanapiga show na wanakula makaranga na kujiboost lakini wanawake wao wanaliwa tu na watu wengine watoto wa MAMA.

Kwahiyo ukimla mke wa mtu si kwamba haridhiki ndani bali ni MALAYA huyo ,mwanamke kama hakupendi na hakutaki hawezi kukaa na wewe na kuvumilia kadhia hizo ,ukiona amekaa na wewe fresh basi jua amekubaliana na kila kitu.
 
Dakika 45 zinatosha kupiga bao moja kama umekula na kunywa vema. Hao wanaosema wanapiga bao saba labda wanahesabu mitoko, maana bao moja lina mitoko mitatu hadi minne iliyojaa. Ukirudia mara ya pili unatoa mitoko mitatu jumla inakuwa saba. Na hii inatokana uhimilivu wa mwanamke kuweza kuvumilia mikimikiki muda mrefu wa kuchakatana
 
UGALI UNAONGEZA NGUVU ZA KIUME HASWA, NIKIWA KANDA YA ZIWA GEITA KIPINDI HICHO, KUNA MATANDA YA VYAKULA, PALE UWANJA WA KALANGALALA ASEE, NILIMALIZA KULA UGALI TU MSHEDESE UNA SIMAMA BALAAA MPAKA NAONA AI U LABDA KAMA WALIKUA WANAONGEZA DAWA ULE UGALI NI WA DONA
Fatilia vyakula vyenye; Omega 3, zink, potassium, protein, vitamins B5, B6, C,. Ukitaka enegy mwilini kula kuku, bata, samaki, ng'ombe, mboga za majani, parachichi, na tango. Vyakula hivi sio tu nguvu za kiume lakini hata ngozi inang'aa balaa, fanya mazoezi ya kutembea. Vyakula hivyo utapata kwa urahisi kama ni mfugaji na una bustani. UGALI uliwe kwa hamu tu tena kidogo sana.
 
Jua kali sana, waoneeni huruma watoto wa wanawake wenzenu. Watafute ada za shule na bado wawakamue bao tano. Loh
 
Hawajambo tanga sheheee
ukisoma vyema mwanamke ana dka 10 za kwanza tu kama unaweza mpelekeq moto kuanzia romance mpaka Kigali 10 mins kinachofwata kwako n mateso shehe wala humtesi yeye sheheee

Yaan utahisi huyuu nakojoa mpaka akome mweeeee wakongongolekaa shehee jali afya yakoo shehe

Hao wakimaliza na wewe kaangalie sinza lodge moja inaitwa mapambano shehe unaoga unatoka nje unakuta anaelekea chumba cha pili shehe wamejuanaje sio kazi yakoo. Hhivyoo viumbe usishindane navyoo shehe utakufa mapema na kutesa viungo vyako sheheee
 
NAFURAHIA kusikia sheheee nikija tanga ntakucheki ntafutie meshemeji
ila usiniletee wale wanasikia kesho naondokannguo zinabaki kwa.maji maalum nawaachia mie
 
Wala chips

Wala chips tutawagongea wake zenu tu maana show hamwezi
Mkuu elimu yako ni level Gani angalau tujue,naona umekalili kuwa kula ugali ndo kuwa na nguvu,mara Wala chips tutawagongea wake zenu🙄🙄

Ingekuwa kula ugali ndo kuwa na nguvu basi Tanzania na Kenya wageongoza kwenye kutwaa makombe ya mpira na riadha pia darasani Kenya na Tanzania wangekuwa vinara wa elimu.

Tambua kuwa anayekula vianzi mviringo ( viazi chips) anapata virutubisho vingi kuliko wewe unayekula ugali,mfano

Vianzi Mviringo (Viazi chips) vina
  • Wanga: Chanzo kikuu cha nishati mwilini.
  • Vitamini C: Husaidia kinga ya mwili na ngozi.
  • Vitamini B6: Muhimu kwa kazi ya ubongo na utengenezaji wa seli nyekundu za damu.
  • Madini ya Potasiamu: Husaidia kudhibiti shinikizo la damu na kazi ya misuli.
  • Nyuzinyuzi: Husaidia usagaji wa chakula na kuzuia kuvimbiwa.
  • Maji: Viazi vina maji mengi, husaidia mwili kuwa na unyevu wa kutosha.

🍚 Ugali (kutoka mahindi) una
  • Wanga: Hutoa nishati ya haraka kwa mwili.
  • Protini: Ingawa ni kidogo, husaidia kujenga mwili.
  • Madini: Kama chuma, magnesiamu, na fosforasi – muhimu kwa mifupa na damu.
  • Vitamini B1 (Thiamine): Husaidia katika mchakato wa kubadilisha chakula kuwa nishati.
  • Nyuzinyuzi (kama umetengenezwa na unga wa dona): Husaidia mmeng’enyo wa chakula.

Lakini pia tambua sio Kila nchi chakula chake kikuu ni ugali,waarabu wenzetu wanakula vitu vya mfano na tense na wako mbele kwa Kila kitu sio wewe MLA ugali.

Ugali ni chakula cha masikini,Mimi naweza maliza mwaka bila kula ugali na Niko njema ki afya
 
Elimu yangu ni bachelor degree from sua na mzumbe haya sema kiongozi
 
Hayo mazoea ndio huharibu ndoa nyingi sana, hio kitu haina cha mazoea pigiza mzeee
Bado una akili za kitoto sana. Bado hata kichwani ni empty head. Huwezi kumpiga mkeo unayelala naye kitanda kimoja miaka nenda rudi bao 5, kwanza hakuna mwanamke mpumbavu wa kukubali ujinga huo hapa Dar Es Salaam labda huko mikoani kuna wanawake mazombie

Unawezaje kumshauri kwa mfano mwanaume wa miaka 55 apige bao tano kwa mkewe?

Mwanamke haachi Kuchepuka eti kwa sababu wewe unamgonga bao 5, mwanamke akiamua Kuchepuka atachepuka tu bila kujali jana ulimpiga bao 5

Kubali kwamba unapotosha watu na moderators wanapaswa kuwa makini na low content quality kama hii yako
 
Mkuu elimu yako ni level Gani angalau tujue,naona umekalili kuwa kula ugali ndo kuwa na nguvu,mara Wala chips tutawagongea wake zenu🙄🙄

Ingekuwa kula ugali ndo kuwa na nguvu basi Tanzania na Kenya wageongoza kwenye kutwaa makombe ya mpira na riadha pia darasani Kenya na Tanzania wangekuwa vinara wa elimu.

Tambua kuwa anayekula vianzi mviringo ( viazi chips) anapata virutubisho vingi kuliko wewe unayekula ugali,mfano

Vianzi Mviringo (Viazi chips) vina
  • Wanga: Chanzo kikuu cha nishati mwilini.
  • Vitamini C: Husaidia kinga ya mwili na ngozi.
  • Vitamini B6: Muhimu kwa kazi ya ubongo na utengenezaji wa seli nyekundu za damu.
  • Madini ya Potasiamu: Husaidia kudhibiti shinikizo la damu na kazi ya misuli.
  • Nyuzinyuzi: Husaidia usagaji wa chakula na kuzuia kuvimbiwa.
  • Maji: Viazi vina maji mengi, husaidia mwili kuwa na unyevu wa kutosha.

🍚 Ugali (kutoka mahindi) una
  • Wanga: Hutoa nishati ya haraka kwa mwili.
  • Protini: Ingawa ni kidogo, husaidia kujenga mwili.
  • Madini: Kama chuma, magnesiamu, na fosforasi – muhimu kwa mifupa na damu.
  • Vitamini B1 (Thiamine): Husaidia katika mchakato wa kubadilisha chakula kuwa nishati.
  • Nyuzinyuzi (kama umetengenezwa na unga wa dona): Husaidia mmeng’enyo wa chakula.

Lakini pia tambua sio Kila nchi chakula chake kikuu ni ugali,waarabu wenzetu wanakula vitu vya mfano na tense na wako mbele kwa Kila kitu sio wewe MLA ugali.

Ugali ni chakula cha masikini,Mimi naweza maliza mwaka bila kula ugali na Niko njema ki afya
Mimi ndiyo maana siku hizi sipo active sana hapa JF sababu ya hizi low quality content. Kila mjinga anaruhusiwa kupost chochote na kutupotezea muda

Alichofundishwa hasa huko SUA ni kulinda mkewe asichepuke!
 
Ndio maana vitabu vya Dini vinakataza wanawake kushiriki na mwanaume zaidi ya m'moja kimahusiano na kimahaba.

Ikatokea mwanamke kabadili wanaume kama chupi mara kadhaa ndipo shida huanzia hapo sasa. Anazoea msisimko hadi kusisimuka kunakuwa ni kazi ya ziada. Ili umsisimue inabidi kutumia jitihada nyingi wakati kuna binti hapo ambaye hajachezewa kabisa ukimshika kiuno ukamchapa tako tatu tu anazimia kwa utamu na kutetemeka kama gari yenye miss kwenye muinuko.

Haya ni matatizo ya Auntie Ezekiel sio Kusah. Yeye akitaka kujua hilo amtafutie huyo mume wake binti mbichi wa miaka 19 halafu akae awatazame wakipelekeana moto aone balaa lake namna kijana atamwaga mabao zaidi ya round 2.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom