Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah, nlikuwa sijaiona hii avatar! Btw Bongo Movie sasa hivi kabaki Gabo tu!Kachemkaaaa kwa kipi wanachoigiza?
nani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
Ahsante na kwako pia, nitatoa kamovie soonHeri ya mwaka mpendwa. Mi ukiigiza wewe, nitaangalia.
Ahsante na kwako pia, nitatoa kamovie soon
Halafu basi ingekua movie ya msanii mchanga lakini hata huyu.Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
Tuache kuangalia into the badland kwelinani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
Hawa watu ni maarufu kwa maisha yao nje ya sanaa.... Ila ukifwatilia upande wa sanaa utajiuliza why wanamwita super star
Tuache kuangalia into the badland kweli
ukitoa Holwood ya Marekani, inayofuata ni Bolwood ya IndiaUmeongelea angle nzuri sana.. Yaani umegusia kwa wasanii wenyewe... Hope kama watakuwa wanapitia hizi page na kusoma haya mawazo yetu..
Natamani siku moja nikae kuangalia filamu ya kibongo nikasisimka..
Yaani soko la filamu bongo lina changamoto kila idara.. Waigizaji.. Watunzi. Waongozaji.. Yaani shaghala baghala..
Mfano mzuri ni wahindi.. Yaani kiteknologia na uwekezaji wako nyuma bado tena sana.. Sema kinachowabeba na kuwapatia umaarufu ni simulizi zao.. Yaani unaweza ukaangalia ukajikuta unalia...
Wenzetu wako makini kiasi cha kukubali fanya mazoezi au kujikondesha ili kukidhi mahitaji ya role..