Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ile ya 24 hoursMr t_bag nomaa naskia P.B season 5 inaanza mwez wa 3
Ha ha ha my ribsaliyetekwa mwenyewe anachekelea
Ha ha ha jini laogopa vuka barabaraWatu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe jina namm niitafute jamaniiiinani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
hapo sina tatizo wakati mwingine jambazi anaweza kuvua viatu ili kunyata vizuri tokea nje ili sauti ya viatu isisikike.. JAMANI WABONGO TUACHE KUFIKIRI KWA KUTUMIA SEHEMU ZETU NYETIWatu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
Daah ile 24 ni level zingine japo sikuangalia mpaka mwisho ila iko poaKuna ile ya 24 hours
Ni nomaa