Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Nyumbani kwangu nilishakataza kuangalia vitu viwili:
1. Video chafu chafu zikiwemo bongo movies
2. TBC television
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] mbavu zangu
 
Picha linaanza....
Sterling-Vicent Kigosi
Story-Vicent Kigosi
Script writer-Vicent Kigosi
Director-Vicent Kigosi
Location manager-Vicent Kigosi

Kila kitu anafanya mtu huyo huyo saa muvi nzuri itapatikana vipi? Acha tu na mtazamaji awe huyo huyo Vicent Kigosi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji482]
 
WANAMWITA
-THEODORE
-TEDDY
BAG-MAN
-WOLF
BILA THEODORE PRISON BREAK SI KITU AISEE.

TUSUBIRI UJIO MPYA WA PRISON BREAK NEW SEASON MWEZI WA 6 MWAKA HUU

t- bag naye ndaniii [emoji39] [emoji39]
Masihara ndugu prison si imeisha Michael kafa

Sasa iweje season nyingine itoke
 
JF bana, kila mtu anajifanya anacheki movie za mbele tu, Auntie Ezekiel asijali, sisi wazalendo tutaangalia sana, tena ngoja niongeze ratiba ya kuangalia.
Na wewe ni house girl?
 
Labda Kinana na Makada wenzake wa CCM ndio wanaweza kuzinunua, sisi wengine hapana, hatutazinunua wala kuziangalia tena.

Kwa namna wasanii wa bongo movie walivyokuwa busy majukwaani 2015 ili CCM na Magufuli washinde uchaguzi, sisi watanzania wenye Akili kubwa tuliapa kabisa kuwa lazima wasanii wale walipe gharama ya kutuingiza shimoni.

Na bado sana.
Hapa kazi tu.
 
Nani anaetaka vitu visivyo naviwango.. Kiukweli nilishasahu kitambo kuitizama move za kibongo..baada ya kanumba kufa na bongo move ikafa
 
Masihara ndugu prison si imeisha Michael kafa

Sasa iweje season nyingine itoke
b46fdb4ec5c83c0f34176158562f8425.jpg
 
Wenzetu wako makini kiasi cha kukubali fanya mazoezi au kujikondesha ili kukidhi mahitaji ya role..

mkuu kwa hela gn wanazolipwa mpka msanii wa bongo muvi aamue kupunguza wowowo lake ambalo linamuweka mjini? [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Waigizaji wenyewe wanashindana kuishi kama watu wa nje, kwa nini watazamaji/wanunuzi na wao wasipende vya huko huko nje?
 
Picha linaanza....
Sterling-Vicent Kigosi
Story-Vicent Kigosi
Script writer-Vicent Kigosi
Director-Vicent Kigosi
Location manager-Vicent Kigosi

Kila kitu anafanya mtu huyo huyo saa muvi nzuri itapatikana vipi? Acha tu na mtazamaji awe huyo huyo Vicent Kigosi
utaniua mbavu
[HASHTAG]#teamtonyjaa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#teamkorea[/HASHTAG],thai,philipin0
b0ngo wamez0ea ujnga tu
 
Back
Top Bottom