Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

64f60825f135759a65e34b2c053a9544.jpg

4106b65c4dc9905cffce8ab1671de85c.jpg

20b3e31b2749efcfeeb4d99f1178d91c.jpg

199f4e958f0df3b086827c5cbb749fa9.jpg

Na mtaalam FARAN TAHIR yumoooooo!!!
9e9f25c61c63d927d4b12cce88097fec.jpg

Jamani jamanii asiye na macho haambiwi tazama ....mwezi June sio mbali
Huyo Michael ameshaacha ushoga?
 
Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
20aecc8e906dc6be43d324f47c9fb8f2.jpg
Lazima uvue viatu iliusichafue nyumba zawatu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
kuna watu huwa wanasema hivi "Muvi zenyewe hazina maadili si bora niangalie za mbele".
 
Tatizo la wasanii wetu hawajui wanachotaka ili bongo movie iuzike.. Ni kama wale wanamuziki waliulizwa wanataka nn wakasema studio. Jk akawapatia..
Soko la movie duniani kote halipo Kwenye CD Bali Kwenye majumba ya cinema.. So wasanii wasitegemee chochote cha ajabu kwa mfumo huu wa kutoa CD na kupeleka Mtaani... Hakuna mwekezaji anayeweza ekeza fedha zake sehemu isiyo na faida.. Cheki wamarekani walipofikia.. Wanauwezo wa kuwekeza bilion 400 na wanauhakika itarudi.
So wasanii wakipata nafasi ya kuonana na serikali wawaombe msaada wa kushawishi wawekezaji zaidi Kwenye majumba ya cinema..
Pili na wasanii wetu pia wawe serious kidogo na kazi yao.. Mara ya mwisho kuangalia bongo movie sijui ni mwaka gani.. Kwa sababu kwanza story ni zile zile. Mtu na demu wake wanasalitiana.. Au uchawi.. No scene zao hazizidi nne.. Yaani chumbani sebleni na baa...
Na kudorora kwa soko ni matokeo ya Wateja kuzichoka movie za bongo... Yaani kwa mtu kama mm ambaye ni mpenzi wa movie hawawezi nishawishi toa fedha yangu tizama movie zao watawashika wasiijua English na bahati mbaya kuna jamaaa wanatafsiri now.. Wasipobadilika kuanzia Kwenye utunzi. Directing and acting wajiandae tafuta kazi nyingine za kufanya
Mkuu unazungumzia wamuone rahisi Wa awamu ya ngapi
 
Suluhisho mtu makini kama Diamond Plutnumz aingie huko awachachafye kidogo kwenye movie huko naamini watachangamka na kutimiza wajibu wao....

Dunia Uwanja wa Fujo
 
Kama hiyo kichwani pake ni nywele yake asilia basi movie za 'mbele' naacha kabisa na nitanunua movies zake kwa double price.
 
Script writers wanaua bongo movie wala hakuna mchawi...
 
Kama ni lazima kuangalia bongo movies basi nitaangalia ile KIGODORO, angalau ndio ina uhalisia wa walichoigiza ilahizi nyingine za kujitia wafanyabiashara na matajiri hapana kwa kweli halafu wamekosa ubunifu kabisa, kil baba mwenye nyumba ni mfanyabiashara anaetoa magari bandarini, mweee! Hapana.
 
Umeongelea angle nzuri sana.. Yaani umegusia kwa wasanii wenyewe... Hope kama watakuwa wanapitia hizi page na kusoma haya mawazo yetu..
Natamani siku moja nikae kuangalia filamu ya kibongo nikasisimka..
Yaani soko la filamu bongo lina changamoto kila idara.. Waigizaji.. Watunzi. Waongozaji.. Yaani shaghala baghala..
Mfano mzuri ni wahindi.. Yaani kiteknologia na uwekezaji wako nyuma bado tena sana.. Sema kinachowabeba na kuwapatia umaarufu ni simulizi zao.. Yaani unaweza ukaangalia ukajikuta unalia...
Wenzetu wako makini kiasi cha kukubali fanya mazoezi au kujikondesha ili kukidhi mahitaji ya role..
Kuna siku nimetoka mihangaikoni narudi uswahilini nikapita sehemu kula nikaona wameweka hizo muvi zenu . Shida ilikuwa pale wanapotaka kuonesha gari ilikuwa mwendo mkali sana na umbali mrefu nikichoka sana yaani ni kama vile walibonyeza Fast forward button hivi alafu kuonyesha gari ilitembea umbali mrefu wakarudia tena kipande kile.

NILICHOKA MPAKA LEO HATA UNIPE 5,000 SIWEZI ANGALIA.
 
Hivi huye aunti ezekieli ni mzima kweli yaaani nipoteze pesa na muda kuangali mlinda geti mchizi mchizi na pastor yule yule kila movie .Hizo movie wakauze pale lumumba makahaba wakubwa walizunguka ktk kampeni na njaaa zao kwenye rambo na hiii dhambi iwatafune tuuu kwa maana hakuna namna nyingene malabuku
 
Tatizo la wasanii wetu hawajui wanachotaka ili bongo movie iuzike.. Ni kama wale wanamuziki waliulizwa wanataka nn wakasema studio. Jk akawapatia..
Soko la movie duniani kote halipo Kwenye CD Bali Kwenye majumba ya cinema.. So wasanii wasitegemee chochote cha ajabu kwa mfumo huu wa kutoa CD na kupeleka Mtaani... Hakuna mwekezaji anayeweza ekeza fedha zake sehemu isiyo na faida.. Cheki wamarekani walipofikia.. Wanauwezo wa kuwekeza bilion 400 na wanauhakika itarudi.
So wasanii wakipata nafasi ya kuonana na serikali wawaombe msaada wa kushawishi wawekezaji zaidi Kwenye majumba ya cinema..
Pili na wasanii wetu pia wawe serious kidogo na kazi yao.. Mara ya mwisho kuangalia bongo movie sijui ni mwaka gani.. Kwa sababu kwanza story ni zile zile. Mtu na demu wake wanasalitiana.. Au uchawi.. No scene zao hazizidi nne.. Yaani chumbani sebleni na baa...
Na kudorora kwa soko ni matokeo ya Wateja kuzichoka movie za bongo... Yaani kwa mtu kama mm ambaye ni mpenzi wa movie hawawezi nishawishi toa fedha yangu tizama movie zao watawashika wasiijua English na bahati mbaya kuna jamaaa wanatafsiri now.. Wasipobadilika kuanzia Kwenye utunzi. Directing and acting wajiandae tafuta kazi nyingine za kufanya
Well said!
 
3ab36cf6c01efe5e8b0f64ea387bdfeb.jpg

c155259cb9455522576bdb49540e7650.jpg

Huyu jamaa chizi kweli
Yaani niache kuwatizama
Akina t bag watu wa maana

Nitizame jini linaangalia kulia na kushoto ndio anavuka barabara

Jambazi kishoka kakaza sura huku anakunya kisu eti ndio kuonyesha ukauzu,toka lini mtu akanya kisu

Bongo movie ombeni mahouse gal waongezeke ili soko lenu litanuke
Mr t_bag nomaa naskia P.B season 5 inaanza mwez wa 3
 
Duh kweli bongo films ni shida, kuna takiwa zile faculties za kisanaa kule vyuo vikuu viwe na tafiti nyingi za kisanaa esp kwenye hizi sanaa za maigizo, na uendeshaji wa hizi sana kuanzia kwenye kufunza wasanii na wataalamu wa kuongoza hizo fani... changamoto kubwa ipo hapo, mbili na serikali nayo iwena sera madhubuti kuhusiana na soko hili ili ipate mapato...

Kwa wasanii wapunguze kuji delegate kila roles kwa mtu mmoja, mfano kuna picha nililicheki eti,
Casting;kigusi
Director; kigusi
Script writer; kigusi
Filming; kigusi*
Scenes; kigusi

Mengine mtaendelea mie hizo fani sio zangu
 
Ila nahisi tatizo lipo kwa directors zaidi bongo kuliko waigizaji kwa sababu kuna baadhi ya maigizo kama siri ya mtungi na kadhalika waigizaji ni wa bongo tu ila directors ni wadhungu na kazi ziko njema sana mbona
 
Back
Top Bottom