[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] mbavu zanguNyumbani kwangu nilishakataza kuangalia vitu viwili:
1. Video chafu chafu zikiwemo bongo movies
2. TBC television
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji482]Picha linaanza....
Sterling-Vicent Kigosi
Story-Vicent Kigosi
Script writer-Vicent Kigosi
Director-Vicent Kigosi
Location manager-Vicent Kigosi
Kila kitu anafanya mtu huyo huyo saa muvi nzuri itapatikana vipi? Acha tu na mtazamaji awe huyo huyo Vicent Kigosi
Masihara ndugu prison si imeisha Michael kafaWANAMWITA
-THEODORE
-TEDDY
BAG-MAN
-WOLF
BILA THEODORE PRISON BREAK SI KITU AISEE.
TUSUBIRI UJIO MPYA WA PRISON BREAK NEW SEASON MWEZI WA 6 MWAKA HUU
t- bag naye ndaniii [emoji39] [emoji39]
Halafu eti anaangalia magari kwanza kabla ya kuvuka barabaranani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
Na wewe ni house girl?JF bana, kila mtu anajifanya anacheki movie za mbele tu, Auntie Ezekiel asijali, sisi wazalendo tutaangalia sana, tena ngoja niongeze ratiba ya kuangalia.
Masihara ndugu prison si imeisha Michael kafa
Sasa iweje season nyingine itoke
Masihara ndugu prison si imeisha Michael kafa
Sasa iweje season nyingine itoke
Wenzetu wako makini kiasi cha kukubali fanya mazoezi au kujikondesha ili kukidhi mahitaji ya role..
ww lazima utakua hausgeliJF bana, kila mtu anajifanya anacheki movie za mbele tu, Auntie Ezekiel asijali, sisi wazalendo tutaangalia sana, tena ngoja niongeze ratiba ya kuangalia.
ww lazima utakua hausgeli
Umetisha mkuu, hawapo serious kwa kweli.nani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
[emoji2] [emoji2]nani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
jambazi amevua viatuYani hapo jambazi na aliyetekwa wote wanafanya utani hawako makini kabisa na kazi lini sijui tutafika level za wenzetu bado sana aise.
utaniua mbavuPicha linaanza....
Sterling-Vicent Kigosi
Story-Vicent Kigosi
Script writer-Vicent Kigosi
Director-Vicent Kigosi
Location manager-Vicent Kigosi
Kila kitu anafanya mtu huyo huyo saa muvi nzuri itapatikana vipi? Acha tu na mtazamaji awe huyo huyo Vicent Kigosi
DAH DAH DAH TEH PAM0JA PAMOJANyumbani kwangu nilishakataza kuangalia vitu viwili:
1. Video chafu chafu zikiwemo bongo movies
2. TBC television