Huyo Michael ameshaacha ushoga?
Na mtaalam FARAN TAHIR yumoooooo!!!
Jamani jamanii asiye na macho haambiwi tazama ....mwezi June sio mbali
Lazima uvue viatu iliusichafue nyumba zawatu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
Huyo atakuwa jini hewa!nani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
Mkuu unazungumzia wamuone rahisi Wa awamu ya ngapiTatizo la wasanii wetu hawajui wanachotaka ili bongo movie iuzike.. Ni kama wale wanamuziki waliulizwa wanataka nn wakasema studio. Jk akawapatia..
Soko la movie duniani kote halipo Kwenye CD Bali Kwenye majumba ya cinema.. So wasanii wasitegemee chochote cha ajabu kwa mfumo huu wa kutoa CD na kupeleka Mtaani... Hakuna mwekezaji anayeweza ekeza fedha zake sehemu isiyo na faida.. Cheki wamarekani walipofikia.. Wanauwezo wa kuwekeza bilion 400 na wanauhakika itarudi.
So wasanii wakipata nafasi ya kuonana na serikali wawaombe msaada wa kushawishi wawekezaji zaidi Kwenye majumba ya cinema..
Pili na wasanii wetu pia wawe serious kidogo na kazi yao.. Mara ya mwisho kuangalia bongo movie sijui ni mwaka gani.. Kwa sababu kwanza story ni zile zile. Mtu na demu wake wanasalitiana.. Au uchawi.. No scene zao hazizidi nne.. Yaani chumbani sebleni na baa...
Na kudorora kwa soko ni matokeo ya Wateja kuzichoka movie za bongo... Yaani kwa mtu kama mm ambaye ni mpenzi wa movie hawawezi nishawishi toa fedha yangu tizama movie zao watawashika wasiijua English na bahati mbaya kuna jamaaa wanatafsiri now.. Wasipobadilika kuanzia Kwenye utunzi. Directing and acting wajiandae tafuta kazi nyingine za kufanya
Hahaaaaahaaaa!nani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
Kuna siku nimetoka mihangaikoni narudi uswahilini nikapita sehemu kula nikaona wameweka hizo muvi zenu . Shida ilikuwa pale wanapotaka kuonesha gari ilikuwa mwendo mkali sana na umbali mrefu nikichoka sana yaani ni kama vile walibonyeza Fast forward button hivi alafu kuonyesha gari ilitembea umbali mrefu wakarudia tena kipande kile.Umeongelea angle nzuri sana.. Yaani umegusia kwa wasanii wenyewe... Hope kama watakuwa wanapitia hizi page na kusoma haya mawazo yetu..
Natamani siku moja nikae kuangalia filamu ya kibongo nikasisimka..
Yaani soko la filamu bongo lina changamoto kila idara.. Waigizaji.. Watunzi. Waongozaji.. Yaani shaghala baghala..
Mfano mzuri ni wahindi.. Yaani kiteknologia na uwekezaji wako nyuma bado tena sana.. Sema kinachowabeba na kuwapatia umaarufu ni simulizi zao.. Yaani unaweza ukaangalia ukajikuta unalia...
Wenzetu wako makini kiasi cha kukubali fanya mazoezi au kujikondesha ili kukidhi mahitaji ya role..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
Well said!Tatizo la wasanii wetu hawajui wanachotaka ili bongo movie iuzike.. Ni kama wale wanamuziki waliulizwa wanataka nn wakasema studio. Jk akawapatia..
Soko la movie duniani kote halipo Kwenye CD Bali Kwenye majumba ya cinema.. So wasanii wasitegemee chochote cha ajabu kwa mfumo huu wa kutoa CD na kupeleka Mtaani... Hakuna mwekezaji anayeweza ekeza fedha zake sehemu isiyo na faida.. Cheki wamarekani walipofikia.. Wanauwezo wa kuwekeza bilion 400 na wanauhakika itarudi.
So wasanii wakipata nafasi ya kuonana na serikali wawaombe msaada wa kushawishi wawekezaji zaidi Kwenye majumba ya cinema..
Pili na wasanii wetu pia wawe serious kidogo na kazi yao.. Mara ya mwisho kuangalia bongo movie sijui ni mwaka gani.. Kwa sababu kwanza story ni zile zile. Mtu na demu wake wanasalitiana.. Au uchawi.. No scene zao hazizidi nne.. Yaani chumbani sebleni na baa...
Na kudorora kwa soko ni matokeo ya Wateja kuzichoka movie za bongo... Yaani kwa mtu kama mm ambaye ni mpenzi wa movie hawawezi nishawishi toa fedha yangu tizama movie zao watawashika wasiijua English na bahati mbaya kuna jamaaa wanatafsiri now.. Wasipobadilika kuanzia Kwenye utunzi. Directing and acting wajiandae tafuta kazi nyingine za kufanya
Mr t_bag nomaa naskia P.B season 5 inaanza mwez wa 3
Huyu jamaa chizi kweli
Yaani niache kuwatizama
Akina t bag watu wa maana
Nitizame jini linaangalia kulia na kushoto ndio anavuka barabara
Jambazi kishoka kakaza sura huku anakunya kisu eti ndio kuonyesha ukauzu,toka lini mtu akanya kisu
Bongo movie ombeni mahouse gal waongezeke ili soko lenu litanuke
Mapilau ndo muvi za wap bibieEvelyn Salt said:kucheki bongo movie dah bora nicheki mapilau