Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Umenichekesha kinoma babakeNimeipenda picha ya CP akishushia keki na biaaa.
Haina tofauti na kulamba biere na mayai ya kuchemsha. hayo maushuzi yake unayasikia mpaka kwenye sms
sasa wewe ndo umenifanya nicheke haswa haswaUmenichekesha kinoma babake
sasa wewe ndo umenifanya nicheke haswa haswa
Msanii wa filamu Aunty ezeckiel Gwantwa Jujuman amefungua PUB yake nzuri maeneo ya Biafra-kinondoni,wote mnakaribishwa,Jana ndio imefunguliwa rasmi na wadau mbalimbali walialikwa kuja kupata chakula na vinywaji kwa wingi.
Irene na Chopa nao walikuepo kwenye ufunguzi huo
Keki ya pub ilikuwa hivi, sote tulikula
Mkurugenzi wa CREM Pub Aunty Ezeckiel akimlisha keki Rehema Macho
CP nae hakuwa mbali
TID naye ndani ya nyumbaaa
HONGERA SANA DADA ila kuna taarifa pia katika pub hiyo inayoitwa CREAM kuna saloon inayotoa huduma za nanihii hasa kama unataka huduma toka kwa mastaa nitajaribu kuitembelea hii pub na kuwajulisha kulikoni
Biafra upande ule wa uwanjani ama huku upande wa pili wa hombos
Please take some pictures of the bintis in that saloon mazeeni kweli hili eneo ni kubwa sana,biafra ip? karibu na open university au kule maeneo ya upande wa pili?Lakini naenda kupatafuta sasa hivi.
Well said:A S 8:Wahubiri watu wamrudie Mungu wao, usiwahubiri wakalewe.
Kwenye ulevi kuna umalaya, umasikini, ugomvi, ajali za barabarani , kuibiwa na matukio mengi mabaya yanayo fanana na hayo.