Aunty Ezekiel Afungua PUB yake

Aunty Ezekiel Afungua PUB yake

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Msanii wa filamu Aunty ezeckiel Gwantwa Jujuman amefungua PUB yake nzuri maeneo ya Biafra-kinondoni,wote mnakaribishwa,Jana ndio imefunguliwa rasmi na wadau mbalimbali walialikwa kuja kupata chakula na vinywaji kwa wingi.

Irene na Chopa nao walikuepo kwenye ufunguzi huo

Keki ya pub ilikuwa hivi, sote tulikula

Mkurugenzi wa CREM Pub Aunty Ezeckiel akimlisha keki Rehema Macho

CP nae hakuwa mbali

TID naye ndani ya nyumbaaa

HONGERA SANA DADA ila kuna taarifa pia katika pub hiyo inayoitwa CREAM kuna saloon inayotoa huduma za nanihii hasa kama unataka huduma toka kwa mastaa nitajaribu kuitembelea hii pub na kuwajulisha kulikoni
 
Duuh naona hapo amevaa kama anaenda kupika rafiki Aunt sio zile bpamba zake za kiselebuleti
Hongera zake tunapenda maendeleo
 
Ufunguzi na tenite la nguvu big up mama afadhali umejikomboa si mamis wanao.....wanaishia kurudi vijijini kwa wazazi wao wakikumbuka walivyokuwa wakisulubiwa yaani mama apo umejikomboa mara mbili ata mwenye kutaka ndoa lazima afurahie maisha ...kuwa mikin na vijana wa sasa wasikuchekee oovyo sababu ya pub yetu mwaya mebu niwahi cream pub m naomba disc ya nyama choma kama ipo
 
Nimeipenda picha ya CP akishushia keki na biaaa.
Haina tofauti na kulamba biere na mayai ya kuchemsha. hayo maushuzi yake unayasikia mpaka kwenye sms
 
Ndiyo hii anamiliki na huyo mume wake mtarajiwa?
 
Huyu sijui ndio nzee ama baunsa wake naomba umwambie asiwe karibu na wateja watakimbia pub...a smile kidogo mtu akifika apo anaweza hisi anataka kumrushia ngumi ...big up aunt...ngoja tufunge office tuwahi...at least mwaya umewatoa shombo ma miss wenzako walioishia kuandikwa na mabwana zao kwenye magazeti hoi na wengine kuishia kuuza magari ya ushindi
 
HILI GUBELI WAPI HUWA LINAKOSEKANA JAMANI MPAKA NACHOKA LOH SSHEMEJI YANGU POLE

""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""KAZE IWACU""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
 
hili gubeli wapi huwa linakosekana jamani mpaka nachoka loh sshemeji yangu pole

""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""kaze iwacu""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

na wewe unamshika shika mke wa mtu ovyo ivyo uogopi ata kama anakuvulia bangili embu jiheshimu na umuheshimu alietoa agana na mungu pale kanisan hata kama ajui kiswahili pls n pls
 
JAMAAA ANATAMANI APIGWE NGUMI ARUDI JELA KWA WASHIKAJI
KWELI UKIKAA JELA NI JELA TU ANGALIA ATA KIUONO ALIVYOVYAA
 
Wahubiri watu wamrudie Mungu wao, usiwahubiri wakalewe.
Kwenye ulevi kuna umalaya, umasikini, ugomvi, ajali za barabarani , kuibiwa na matukio mengi mabaya yanayo fanana na hayo.
Msanii wa filamu Aunty ezeckiel Gwantwa Jujuman amefungua PUB yake nzuri maeneo ya Biafra-kinondoni,wote mnakaribishwa,Jana ndio imefunguliwa rasmi na wadau mbalimbali walialikwa kuja kupata chakula na vinywaji kwa wingi.

Irene na Chopa nao walikuepo kwenye ufunguzi huo

Keki ya pub ilikuwa hivi, sote tulikula

Mkurugenzi wa CREM Pub Aunty Ezeckiel akimlisha keki Rehema Macho

CP nae hakuwa mbali

TID naye ndani ya nyumbaaa

HONGERA SANA DADA ila kuna taarifa pia katika pub hiyo inayoitwa CREAM kuna saloon inayotoa huduma za nanihii hasa kama unataka huduma toka kwa mastaa nitajaribu kuitembelea hii pub na kuwajulisha kulikoni
 
Biafra upande ule wa uwanjani ama huku upande wa pili wa hombos
 
MSANII (umenichekesha sana kesi yangu ya kuniibia kiwanja nimekusamehe no love lost)
PDIDY-Welcome back my boy u made my evening.
Mfunyukuzi pamoja kaka.
 
Biafra upande ule wa uwanjani ama huku upande wa pili wa hombos

ni kweli hili eneo ni kubwa sana,biafra ip? karibu na open university au kule maeneo ya upande wa pili?Lakini naenda kupatafuta sasa hivi.
 
ni kweli hili eneo ni kubwa sana,biafra ip? karibu na open university au kule maeneo ya upande wa pili?Lakini naenda kupatafuta sasa hivi.
Please take some pictures of the bintis in that saloon mazee
 
Wahubiri watu wamrudie Mungu wao, usiwahubiri wakalewe.
Kwenye ulevi kuna umalaya, umasikini, ugomvi, ajali za barabarani , kuibiwa na matukio mengi mabaya yanayo fanana na hayo.
Well said:A S 8:
 
Back
Top Bottom