MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065

Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha ...Wasemaje?
Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao
Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa
Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi
New couple in town
Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah
Haya tuwapeni Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

