Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065





Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha ...Wasemaje?


Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao

Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa

Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi

New couple in town


Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah


Haya tuwapeni Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.
 
kiukweli kapendeza sana!
nimekumbuka wimbo wa
walisema haolewi mbona kaolewaaa
walisema haolewi mbona kaolewa walisema hampati mbona kampata


haya mwaya anti kila la kheri ndoa ikawe na amani!
 
Rahma ndoa si maigizo. Kila la heri katika maisha mapya.
 
Big up, they look cute! Be blessed in their new life.
 
Amependeza, kabwana kama katoto fulani hivi. Kuna watu wanapenda kuchafulia wenzao majina si juzi tu walisema kafumaniwa

Anyways ubarikiwe kwenye ndoa yako.

Mr Demonte ana baby face!!!
 
Jamaa kaoa matatizo

Kwani jamaa unamjua vizuri historia yake? Isije kuwa Muuza cheni kauza cheni bandia na Mnunuzi katoa hela bandia sisi wa mjini tunaita ngoma droo au kule nyumbani tunasema ngoma inogile...
 
huyu dogo atajuta kuzaliwa coz kwanza bado kijana mdogo sana haikumfaa achukuwe hilo kulubembe atajuata,dogo hapo cjui ila killa la kheri ukirudi unalia lia kama mwenzio Ndikumana ndo utakapoelewa
 
Huyo Demonte ni nani jamani mbona kama katoto au ni baby face tu?ajipange kweli kweli!!huyo ni msanii hadi kwenye maisha ya kila siku!!kila la kheri
 
Huyo Demonte ni nani jamani mbona kama katoto au ni baby face tu?ajipange kweli kweli!!huyo ni msanii hadi kwenye maisha ya kila siku!!kila la kheri

Demonte ana 27 yrs na Aunt ana 29 yrs.
Btw Mapenzi hayaangalii hayo.
 
Jaribu kuangalia hizo picha katika fikra pana, utaona kuna viashiria vya usaniisanii fulani kwa mfano:

1/Tukio moja la harusi lakini mwali anaonekana katika magauni mawili
yenye rangi tofauti. Why so?

2/Wapiga picha na location managers wa bongo movies wapo karibu tena kwa makini sana. Wamefata nini hapo?

3/Tunaombiwa ni harusi ya kifahari sana, lakini Bwana harusi, Best man na wapambe wako katika mavazi tofauti tofauti!!!

4/Pause la Bibi harusi na Bwana harusi mbona sio kabisa kama wanandoa,eg. Macho makavu, macho kodo, Fake smile, hamna hata taswira ya aibu aibu hivi!!!!

5/Picha moja tu anamwonyesha bibi harusi ameshika ''kitumbo'' chake kwa makusudi hivi kuashiria kama mjamzito hivi!!!! Is it so?
 
huyu jamaa alikuwa haishi dunia akapata walau habari za haya makulumbembe au ndio domokaya kapoteza gita hsha
 
Back
Top Bottom