Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

"Mrs Demonte afumaniwa na Shekh, hotelin-Dubai" Hiki ndo kichwa cha habar kwenye magazeti yetu wiki ijayo.
 
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.

Pole ewee I hope it's still hurt hata kama sio dada yako...
 
Amependeza, kabwana kama katoto fulani hivi. Kuna watu wanapenda kuchafulia wenzao majina si juzi tu walisema kafumaniwa

Anyways ubarikiwe kwenye ndoa yako.

Hivi; does size really matters? Kwa mwonekano Mr ama ana umri mdogo au ni mkubwa ila ana umbo la umri mdogo!
 
Wakunga kwa machakubembe kama hayo huwa tunapita tu
 
kiukweli kapendeza sana!
nimekumbuka wimbo wa
walisema haolewi mbona kaolewaaa
walisema haolewi mbona kaolewa walisema hampati mbona kampata

haya mwaya anti kila la kheri ndoa ikawe na amani!

nimeipenda sana comment yako. You are positive na hii ndio sisi wanaadam tunatakiwa kua.All the best mr. n mrs Demonte. maoni yangu kwenu' ktk mahusiano msizungumzie mahusiano yaliyopita. ex kumtaka mwenzio akutajia mpz wake wa zamani' pili dilute maneno yasemwayo na outsiders(note insiders ni ninyi wawili tu labda na watoto wenu)
 
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.

Kaolewe wewe kama unaona hii haikufaa
 
Yaani kuna negative comments nyingi kwenye post hii kuliko positive comments.. Tukumbuke hakuna alie msafi au kukamilika machoni pake Muumba wetu.. Bibie ameolewa mnamsema vibaya na wengine mkimuombea aharibu mapema ili nafci zenu ziridhishwe na unabii wenu wa kiza..! Mmesahau anaejiona msafi ndio awe wa kwanza kumrushia neno baya huyu dada..
Kila la kheri Bi Rahma katika maisha yake ya ndoa.. Akiunganishacho Mungu binaadam hana uwezo wa kukitenganisha..
 
Back
Top Bottom