Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kuna watu wame-comment hajatulia sijui nini, heri huyo mahusiano yake yanaonekana kwa uwazi kuliko huku usawahilini kwetu kwa wasio na majina unaweza sema umepata kumbe iwe mwanaume au mwanamke mpaka anakuja kufunga ndoa alishakuwa katika mahusiano kama ya watu 15 katika kipindi cha mwaka mmoja, SIFA YA BINADAMU NI KUBADILIKA HIVYO HATA KAMA IMETOKEA AMEPITA KTK MIKONO YA WATU KADHAA UKUTE HAIKUWA PERFECT MATCH HUENDA KUNA AMBAO WALIMFUATA KWA KUWA NI MSANII WAKITEGEMEA K YAKE NI TOFAUTI NA ZINGINE MWISHO WA SIKU WAKAINGIA MITINI WENYEWE, JAMAA AMEFANYA MAAMUZI YA MSINGI YA KUCHUKUA MZIGO JUMLA, Pongezi kwake na kila la kheri katika maisha haya mapya


