Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Kuna watu wame-comment hajatulia sijui nini, heri huyo mahusiano yake yanaonekana kwa uwazi kuliko huku usawahilini kwetu kwa wasio na majina unaweza sema umepata kumbe iwe mwanaume au mwanamke mpaka anakuja kufunga ndoa alishakuwa katika mahusiano kama ya watu 15 katika kipindi cha mwaka mmoja, SIFA YA BINADAMU NI KUBADILIKA HIVYO HATA KAMA IMETOKEA AMEPITA KTK MIKONO YA WATU KADHAA UKUTE HAIKUWA PERFECT MATCH HUENDA KUNA AMBAO WALIMFUATA KWA KUWA NI MSANII WAKITEGEMEA K YAKE NI TOFAUTI NA ZINGINE MWISHO WA SIKU WAKAINGIA MITINI WENYEWE, JAMAA AMEFANYA MAAMUZI YA MSINGI YA KUCHUKUA MZIGO JUMLA, Pongezi kwake na kila la kheri katika maisha haya mapya
 
wenzetu wanaruhusiwa kuoleana yaani mume halisi anakuwa haonekani aswa akiwa mzee nadhani hilo ndilo lililofanyika kwa aunty...kwan send off yake hakuwa na mume?im sure huyu siye mume wake maana ni ka serengeti boy..
 
mme anduje hivyo,any way kila la kheri kwenye ndoa yenu
 
Hongera. Ila tuiangalie ndoa hii ndani ya miaka kumi ijayo. Mara nyinfi ndoa za supersters hazidumu.
 
........Bwana harusi anaonekana mdogo sana kwa aunt, kama vile mtu na dada yake.
Ohhhhh!! Age is just a number!!
 
hakuna uhalisia wa picha na tukio lenyewe hapa kikubwa kinachoonekana ni usanii flani hivi,watu wamekaa tayari kupiga picha na inaonekana kuna crew members na wanapata maelekezo kutoka kwa director,angalia ueleko wa macho yao.
 
Wamependeza saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana Binti ameamua kilicho chema kwake. Tukumbuke kuwa hakuna mkamilifu wote tuna hitilafu zetu na kuna usemi unatueleza kuwa TOA KWANZA BORITI ILIYO KWENYE JICHO LAKO NDIPO UTAONA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO.
 
Udogo wa Umri na Ufupi wa Umbo ndio Binti amenogewa nao mpaka akaamua aolewe nae kwa hiyo yeye mwenyewe ndie atakayejua jinsi ya kuzichanga karata zake Nakupa Big Up Aunty.
 
Da jamaa kapendwa au kapenda hawaendani kabisa,zitakuwa hela tu zimefuata tena za urithi si bure
 
sio wanaigiza hao! any way kajamaa katajikunjua inonekana kana ugwadu!!
 
Halafu hako kajamaa mbona kama nakajua vile.

Mara kadhaa tumekutana mitaa ya Tandale kwa mama lishe tukipata Lunch.
 
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.
Mbona sister wako watu wanajirusha nae tu,fuatilia ni nani ili ujinyonge kabisa kwa chuki zako.
 
Back
Top Bottom