Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Hongera Aunt Ezekiel kwa kuolewa na kufunga ndoa.

Nakutakia kila la kheri kwenye ndoa yako, jitahidi idumu isiwe kama zile za mwanzo za kina Jack Pemba na yule babu wa wizarani na wengine wengi.

Kwa picha ingia hapo chini

http://www.sintah.com/blog/?attachment_id=2571
 
Huyo bwana harusi ni mtoto mdogo au mbili kimo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Namukumbuka marehemu Kasaloo Kyanga na wimbo wake kuhusu mapenzi,mwanaume anaonekana mtoto na muolewa kama mmama aliyekubuhu vile
 
Umejaribu kucheki na masisita zako home mabwana zao.

Wewe acha hizo kwetu hiyo kitu haipo kabisa 100% kwanza wote hadi sasa washaolewa na wanakula good time in the name of Jesus,sio kama hawa wnaajifanya ati mastaa pumbavu Bongo kuna staa au wauza nyago plus njaa,baada ya siku mbili miguu juu hata hela yaa Panadol inawapiga chenga
 
kuoana ni jambo la sifa
Na tena ni jambo la fahari kubwa
Katika historia ya mwanadamu

Ni shwangwe isiyokifani
Kwa watu wawili waliopendana
Kuoana katika ndoa kamili

Katika hali yoyote
Kaeni kwa amani nawahusia
Mpaka kifo kije kiwatenganishe...
....................................................................

BUT...
Ishu inaonekana kama planted.
kuna viashiria vinatanabaisha kuwa hiyo ni script ya nxt movie ya huyo binti.
Nimezidekea picha zoote kwa umakini lakini wanaonekana kama ni kaka na Dada na si wapenzi.

Imekuwa ni fasheni kwa wasanii wa bongo kutengeneza scandal au ishu flani flani ili kuteka headings za vyombo mbalimbali vya habari.

Na muandaaji mkuu wa upumbavu huo ni bwana Erick Shigongo kupitia magazeti yake.
Mara kadhaa magazeti yake yamekuwa yakitoa habari ambazo kwa namna moja ama nyingine ni za kupikwa ili kukamata mawazo ya watanzania oya oya.

Msanii wa kweli anazikimbia scandal...
Lakini 95% ya wasanii wa kibongo huwa wanazikimbilia wakiamini zinawapaisha.

MFANO:
1. Diamond
2. Jaqueline Wolper
3. Irene Uwoya
4. Wema
5. Aunt Ezekiel...

Shtuka
 
iseje kuwa walikua wanaigiza kipande cha filamu,manake huyo mdada haelewekagi.!!!:target:
 
Watu wanajilipua sana aisee,
Huyo dogo nahisi hakumchunguza huyu Binti.
Anyway, wao kwa wao.
 
mbona mume wenyewe katoto?ataweza hilo balaa la huyu mmama?wanaume tujionee huruma jamani,lol
 
Huyu mwanaume ni mtanzania au kanaonekana katoto au mwili tu kapata lakini mume ni mume hongera mwaya.
 
huyu dada si aliwahi kusema hataki kuolewa tena kwa sababu alishawahi kutendwa kwenye ndoa, au yalikuwa maneno ya mkosaji?
 
sasa mbona kwa umri hata hawaendani, huyo mbeba mabox ni mdogo kuliko hilo li anti ni li ajuza sana!
 
Demu lipo ka changu la kwa macheni. Sidhani kama anamjua huyo mume au kwa vile kaona hela ndo kajiuza utu wake mpaka dini yake.
 
"you can loose a lot of money chasing Women But you will never loose Women chasing money"
 
Back
Top Bottom