Jaribu kuangalia hizo picha katika fikra pana, utaona kuna viashiria vya usaniisanii fulani kwa mfano:
1/Tukio moja la harusi lakini mwali anaonekana katika magauni mawili
yenye rangi tofauti. Why so?
2/Wapiga picha na location managers wa bongo movies wapo karibu tena kwa makini sana. Wamefata nini hapo?
3/Tunaombiwa ni harusi ya kifahari sana, lakini Bwana harusi, Best man na wapambe wako katika mavazi tofauti tofauti!!!
4/Pause la Bibi harusi na Bwana harusi mbona sio kabisa kama wanandoa,eg. Macho makavu, macho kodo, Fake smile, hamna hata taswira ya aibu aibu hivi!!!!
5/Picha moja tu anamwonyesha bibi harusi ameshika ''kitumbo'' chake kwa makusudi hivi kuashiria kama mjamzito hivi!!!! Is it so?