sasa mbona kwa umri hata hawaendani, huyo mbeba mabox ni mdogo kuliko hilo li anti ni li ajuza sana!
Hebu tueleze maana wewe ni mutoto ya town lazima utakuwa na data, huyu ni andunje au ni mtoto? au anatumiwa na watu?DXB watu hawabebi box!huyo dogo tetesi mtu wa nyeupe!dunk n die sana!mzigo upo ndo maana dadako auntie kakubali kuolewa na dini kabadili!..get rich or die tryin'
Hebu tueleze maana wewe ni mutoto ya town lazima utakuwa na data, huyu ni andunje au ni mtoto? au anatumiwa na watu?
wewe bado hujaolewa!kweli kuolewa ni bahati ya mtu tu.
sasa mbona kwa umri hata hawaendani, huyo mbeba mabox ni mdogo kuliko hilo li anti ni li ajuza sana!
Amependeza, kabwana kama katoto fulani hivi. Kuna watu wanapenda kuchafulia wenzao majina si juzi tu walisema kafumaniwa
Anyways ubarikiwe kwenye ndoa yako.
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.
Yametimia, kweli wengi walitabiri Na imeluwa hivo, auwiiiiiiiiiiiiiie
Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha ...Wasemaje?
Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao
Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa
Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi
New couple in town
Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah
Haya tuwapeni Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.