Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Aunty Ezekiel na Demonte wameremeta Dubai

Ajuza na katoto...tuwatakie kila la kheri!isije kuwa ni maigizo haya pia!
 
sasa mbona kwa umri hata hawaendani, huyo mbeba mabox ni mdogo kuliko hilo li anti ni li ajuza sana!

DXB watu hawabebi box!huyo dogo tetesi mtu wa nyeupe!dunk n die sana!mzigo upo ndo maana dadako auntie kakubali kuolewa na dini kabadili!..get rich or die tryin'
 
DXB watu hawabebi box!huyo dogo tetesi mtu wa nyeupe!dunk n die sana!mzigo upo ndo maana dadako auntie kakubali kuolewa na dini kabadili!..get rich or die tryin'
Hebu tueleze maana wewe ni mutoto ya town lazima utakuwa na data, huyu ni andunje au ni mtoto? au anatumiwa na watu?
 
Hebu tueleze maana wewe ni mutoto ya town lazima utakuwa na data, huyu ni andunje au ni mtoto? au anatumiwa na watu?

Washamba hawaishi ndugu yangu!kuna mayanki wanapiga pesa ughaibuni ndoto zao kuoa mastaa wa bongo!huyu dogo password zake hazijajulikana rasmi!wengine wanadai mtu wa nyeupe!kuna katetesi tena wanasema dogo mkasi kiaina!ila ukimwangalia anaonekana siyo shababi so inawezekana pia
 
Mbona ka bwwna harusi kama kaserengeti boy?
 
sasa mbona kwa umri hata hawaendani, huyo mbeba mabox ni mdogo kuliko hilo li anti ni li ajuza sana!

.......kwani ameoa miaka au ameoa mke ?!......hata Bi Kidude unaweza oa !
 
Kumbe wewe huna wivu.....lol....sasa na sisi tufanye faster tufunge yetu my swty.

Amependeza, kabwana kama katoto fulani hivi. Kuna watu wanapenda kuchafulia wenzao majina si juzi tu walisema kafumaniwa

Anyways ubarikiwe kwenye ndoa yako.
 
Mbona kwenye kipindi cha mkasi alidiklea kuwa yeye ni muislam, fikra zako kwamba ni mlangurewe mwenzako, shameeeeee!
 
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.

afuu watu kama nyie ndo tunakata miguu tu....unauwakika gani mchoma makanisa kwani kina joseph hawako wanaochoma makanisa
 
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.

Na badooo tunahakikisha dada zenu wote wafa njaa wanakuja huku mpyuuuuuu
 
Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha ...Wasemaje?

Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao

Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa

Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi

New couple in town

Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah

Haya tuwapeni Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Yametimia, kweli wengi walitabiri Na imeluwa hivo, auwiiiiiiiiiiiiiie
 
Back
Top Bottom