Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Binamu mwenzetu yamemkuta uko mtaa wa pili, nasikia ni muuza duka jiran na duka la maimartha wa jesse, nasikia jamaa alipewa hela na mume wa mai awe anachunguza kila kitu apo dukan anayeingia na kutoka, si unajua umbea mtamu ila pesa tamu zaidi? Bas jamaa bila hiyana akakubal akaw anampa umbea mume wa mai bila mai kujua, siku ya siku mai kujua ndo alichomfanyia huyo jamaa, yani mai huyu ngoja na sisi tutamkomesha na vipodoz vyake vya kichina naa dildo we muache tu
Cc geniveros, TATIANA, Heaven on Earth, Heaven Sent, amu, qn of sheba
Binam mbeaa mpaka umejiquote Mwenyewe hhhaaaaaa
Last edited by a moderator: