Hivi hayo ya Wema ya huko Ilala ni kweli jamani au wanaomchukia wanaamua kumchafua binti wa watu. Siyo vizuri jamani. Kwa sababu kama ni kweli ina maana Diamond hayajui. Sidhani kama angekubali kudate na mtu aliyechafuka kiasi hicho kwani yeye haogopi magonjwa jamani.