Aunty Ezekiel: Natamani kupata mtoto

Binam mbeaa mpaka umejiquote Mwenyewe hhhaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ahaha ahah unanikumbusha na wewe kuna siku sijui matola alikuwa anakuchamba bi shost sijui ndo kuchanganyikiwa na vichambo ukaji quote mwenyew ukajichamba yan nilicheka sana aiseeh dah ile siku ni balaa

Acha basiiiii unajua labda kusahauu basi ulichekaaaaa loo mpaka leo unanichekaaa khaa!!!
 
Mmmmhhhh huyo Mai mtata
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaaaa.....!!!mai mtata...
mjini siku hz unasutwa na kigodoro
nshaona home mtu anasutwa na kigoma mwingine kavuliwa ushoga na benbati....!!!
llllooooh....!!!
 
Last edited by a moderator:

Duh hii ni hatari sana!
 
Hahahahha binamu umbea mtamu ila kusutwa ni balaa. Pata picha dume zima --------- keki ya msuto,... nahisi Mai kaamua kumsitiri tu huu mwezi mtukufu so hawajamuitia kigodoro cha uruguay.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Binamu hii nayo kali... hahaahaaa nacheka kama mazuri
 
Last edited by a moderator:

Alipopelekewa hakuzimia...??? Bwahahaaaa

Loh atakuwa kakoma umbea
 
Last edited by a moderator:
Alipopelekewa hakuzimia...??? Bwahahaaaa

Loh atakuwa kakoma umbea

Walimuita yeye alijua Luna sherehe maana ma wine yalikuwepo name hyo keki so jamaa akajua ni sherehe tu kumbe msuto kaandaliwa wacha a vibrate kwa mshtuko
 
Walimuita yeye alijua Luna sherehe maana ma wine yalikuwepo name hyo keki so jamaa akajua ni sherehe tu kumbe msuto kaandaliwa wacha a vibrate kwa mshtuko

Hahahaaa binamu we! Nimechrka hadi basi
 
Walimuita yeye alijua Luna sherehe maana ma wine yalikuwepo name hyo keki so jamaa akajua ni sherehe tu kumbe msuto kaandaliwa wacha a vibrate kwa mshtuko

Makubwa teh teh teh wana mambo mtu kajiandaa anajua party kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…