AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Hakikisha unaangalia zaidi ya mara saba kwa kurudia kwenye hali tofauti tofauti na mwanga tofauti tofauti ili macho yaweze kuzoea ndipo uendelee na hatua ya pili tatu nne hadi tano..

Rakims
Baada ya kuziona hizo rangi za zoezi la kwanza ni zoezi gan linafuata hapo
 
Somo lako yawezekana likawa zuri mkuu ila refu sana.

Walau jitahidi kufupisha.
 
Huwa siwapendi watu wanaoquote Uzi mreeeefuu wanaboa kishenzi[emoji16]
 
Haya mambo wana wa ISRAEL ndio waliokatazwa kufanya kwenye nchi walioingia, Ni macgukizo mbele za Mungu
 
Natamani ungetuwekea audio ya maelekezo ingekuwa poa zaidi mkuu. Uvivu wa kusoma ha ha ha
pole mkuu yatakiwa ujifunze na kutafuta chakula sio kula tu....

Rakims
 
Soon taelekeza rangi za watu za aura kwa muonekano wao,

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…