Jamani hii ni noma! Wakati wananchi wanaambiwa kubana matumizi na kukaza mkanda, ripoti ya Controller of Budget imefichua kuwa serikali ilitumia Ksh.17.3 billion kwa safari za ndani na nje ya nchi kati ya Julai 2025 na Machi 2026.
Bunge liliongoza matumizi makubwa ya safari huku State House, Senate na ofisi mbalimbali za serikali zikitumia mabilioni ya fedha za umma. Aidha, Ksh.4.9 billion zilitumika kwa hospitality, ongezeko la asilimia 33 kutoka mwaka uliopita.
Wananchi wengi sasa wanauliza, austerity measures ni za nani? Kama serikali inahimiza kubana matumizi, mbona matumizi ya safari na starehe yanaendelea kupanda?
Je, unafikiri matumizi haya yanafaa wakati gharama ya maisha bado iko juu? Maoni yako ni yapi?
Source: Citizen digital