Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Mi nilivyoona jina la mwisho kabisa kwenye hiyo barua ya TAWA baaaasi nikahitimisha kwa ile kauli ya mama urefu wa kamba hadi kuvembewa

Vick Kamata
 
Na Gulfstream inaonekana mara kwa mara Dubai, si ajabu inabeba nyara na madini.

Mnakumbuka Mrema wakati ni Naibu PM aliwahi kukamata mzigo mkubwa wa madini ambao baadae ilikuwa kubainika ulikuwa wa mke wa zee moja lilikuwa magogoni linafanya magendo
 
Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.

View attachment 2743460
View attachment 2743489

UPDATE

TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia

View attachment 2743103
View attachment 2743104
Hii taarifa kwa umma ni uthibitisho kuwa mamlaka zetu kuanzia TAWA yenyewe ni aidha zimesinzia au ni corrupt!
 
Na Gulfstream inaonekana mara kwa mara Dubai, si ajabu inabeba nyara na madini.

Mnakumbuka Mrema wakati ni Naibu PM aliwahi kukamata mzigo mkubwa wa madini ambao baadae ilikuwa kubainika ulikuwa wa mke wa zee moja lilikuwa magogoni linafanya magendo
Tunaibiwa sana...
Nawanaofanikisha hayo madili wanaturingishia majumba, magari na matumizi ya kifahari huku mtaani!
 
Kwani wamasai walipofukizwa mlitegemea nini toka kwa hao watabu wa OBac?
 
Umewahi kujiuliza kwann KIA serikali imekataa kuiweka chini ya TAA? 😀😀😀
 
Wamekagua wapi? Mbona Wasomalia wana kamatwa ndani ya nchi kila siku? Wakenya na Wa Congo wamejaa Tz kama utitiri. Vitambi tu wamejazana. Hizo nguo ni kazi yao?

America wana extreme measures kwenye border control lakini magendo bado yanapita? Madawa yanapita, human traffick rings bado zinasafirisha wahamiaji haramu, raia wa kigeni bado wamo na hawana permit ya kuishi

Je wao ni wazembe? wana vitambi wamejazana makazini hawana kazi?

Huwezi kuzuia uhalifu 100% hata siku moja. Unadili na binadamu si wanyama
Ukizuia hapa wao wana buni kingine

Ni cycle isiyo isha
 
Ww unadhani wahalifu wa America vs Mexico ndio hawa wa Tz? Mji gani Tz una kuwa Monitored na CCTV Camera au Satellite kila tukio? Wale wana tumia Elimu kubwa kuiba au Kupenya. Watu wana chimba mitaro hadi gerezani kutorosha boss wao. Hawa wa Tz hata Mgambo ana uwezo wa ku control.
 
Uhalifu ni uhalifu, na wanapita border zote by any means, any route.
America nimeitumia kama reference kukuonyesha tu kuwa hakuna nchi ambayo iko magendo free, yaani hamna usifirashaji nyara 100% .
Hawa wa tz eti hata mgambo?
Si wezi hao ni vibaka, street level thievs.

The real one wana power, ifluence, wana mtandao wao mrefu, sometimes unahisisha hadi leaders.
Ndio hawa wanapenyeza vitu vizito
 
Sasa kwa hao wanajeshi wetu wa kupasua matofali karne ya 21. Wataweza kuzuia uhalifu ulio enda shule au Mikutano ya CHADEMA tu?
 
Hii nchi inaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana. Unawezaje kuruhusu upumbavu kama huu kufanyika katika nchi yako?.

Bora mzungu aje atutawale tu, ila tabia hizi za kishenzi na upumbavu haziwezi kutufikisha popote kama Taifa.

Ndiyo maana tunadharaulika huko duniani, tunaonekana kama nyani tu.

Pumbavu kabisa.
Kabisa mkuu, hatuna viongozi kabisa
 
Back
Top Bottom