Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Tz jeshi lake lina kazi gani? Waende Ukraine wapate mafunzo kwa vitendo.

Nikusaidie primary function ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, si kukagua magendo.
Uhamiaji wapo, maliasili wapo ndio kazi zao
 
Tz jeshi lake lina kazi gani? Waende Ukraine wapate mafunzo kwa vitendo.

Nikusaidie primary function ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, si kukagua magendo.
Uhamiaji wapo, maliasili wapo ndio kazi zao
 
Nikusaidie primary function ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, si kukagua magendo.
Uhamiaji wapo, maliasili wapo ndio kazi zao
Wamekagua wapi? Mbona Wasomalia wana kamatwa ndani ya nchi kila siku? Wakenya na Wa Congo wamejaa Tz kama utitiri. Vitambi tu wamejazana. Hizo nguo ni kazi yao?
 
Wajinga ni nyinyi, sheria za nchi ziko wazi. Mnyama akizeeka anauzwa kwa mnada watu wanamlamba risasi wanachukuwa mabaki yake kihalali kabisa.

Nawashanga mnashangaa hao simba na chui wazee hamshangai, binadam wanaojipeleka wenyewe kwa ushoga.

Nyie hata Austria uzi huu mmeibadilisha kuwa ya Waarabu. Chuki za kijinga hizo.
Ni Australia na siyo Austria. Hata hivyo mnyama akizeeka mnamuua? Kwa hiyo na pembe za ndovu ni halali kuziuza kwa kisingizio tembo alikuwa Mzee!!!
Waarabu ni wakatili sana, na wana dharau sana. Waulize mabinti wa kazi wa Kenya, walionusurika huko nchi za uarabuni watakuambia.
Na hii wanafanya ni sababu ya kutojali. Na ndio sababu hata hapa nchini kila walipokaa waraabu pako duni sana mpaka wanaowafanyia kazi ni makapuku.
Hawa viongozi waliohusika na kuwauzia hawa makatili wa kiarabu vitalu vyetu Kuna siku watalipa. Hizo kinga za kutoshtakiwa zinazowapa kiburi cha kufanya wanachotaka, ipo siku zitaondolewa.
Kuna video imewahi kuonyeshwa siku za nyuma, kidogo, jinsi vijana wa kiarabu walivyokuwa wakiua hovyo wanyama tena kikatili sana, nakumbuka ushahidi huo ulitolewa bungeni na Mh. Msigwa, Hawa ni washenzi usipime, kwa hiyo huwezi kushangaa hayo ya Australia.
Eti ni ruksa kuua wanyama wazee, mbona taarifa ya Tawa imesema inachunguza!! Si wangewaambia tuliruhusu wauwawe tu kwa sababu ni wazee.
 
Ni halali kabisa ukiwa na kibali. Mbona watu wanaua sana tu kwa vibali. Tena wanajulikana kabisa wakuuliwa ni wepi, Simba hususan dume likishakuwa zee likifukuzwa kwenye familia (pack) na vijana ni heria auliwe inapatikana faida kuliko kuwachwa afe kwa mateso na njaa, huwa hawezi kuwinda peke yake.

Inaitwa "culling" kitaalaam, Tembo wengi wanauliwa kwa njia hii.
Nimekuelewa mchambuzi. Kumbe hawa wanangu wanafanya kihere here tuu kuwakamata wakati sisi tumewaachia
 
Ukiona Taifa lolote linapiga hatua kubwa kimaendeleo basi ujue Taifa hilo kila wakati linakua makini kuhakikisha kwamba chaguzi zake zinazaa Viongozi bora, Viongozi bora ni wale wanaosikiliza Wananchi na kutekeleza yale Wananchi wanataka sio hawa viongizi wa ccm wanajifanyia yao.
 
Ingekuwa ni magufuli waliohusika na uhujumu uchumi huo wote wangetiwa jambajamba kama si kuharisha kabisa. Nchi haiwezi kugeuzwa shamba la bibi kiasi hiki kila muhuni ajivunie mazao shambani anavyotaka
Tupe mfano wa kigogo japo mmoja tu aliyewahi kufungwa enzi za hilo shetani lenu la Chato
 
Sasa swali linakuja hapo, vitalu vya Otelo Loliondo vinahusika nini hata wanafik waje kuvitaja hapa?

Nyara zikamatwe zilikokamatwa, wasemwe Waarabu/ Ficheni upumbavu wenu huko.

Kwani hao TAWA wamesema zimepitaje hizo nyara na zimesafirishwa vipi na wao walikuwa wapi? Hao ndiyo wa kushikwa kwanza kabisa na kujieleza.
[emoji2956]
 
Ni aibu kwa kweli,yaan mpaka parcel inatoka bongo ujue kuna hatua 3

1.Physical inspection ambayo hufanywa na customs na watu maliasili na usalama,Document vs Kilichopo ndani package

2.Kuna Mbwa maalumu ambao hupitia parcel zote before kwa Kunusa

3.Scanner, ambapo mizigo yote inakuwa screened kabla ya kuwatayari kupakiwa airport.

How come vyote hivi havikuonekana/Kuweza gundua.

Inaweza ikawa pia havikutoka Tz.Ila kwa video wakaguzi wa Australia wanasema ni kutoka Tanzania na Kibali Kutoka Tz .je kibari nacho ni feki?
Walinzi wa Taifa waamke, kama hawajalala, wachukue hatua.
 
Back
Top Bottom