Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wako na strict rules ikija masuala ya kuingiza vitu huko ukiangalia clip hiyo wanaongelea pia kama kuna wadudu wanaoweza kuwa humo kwenye ngozi
Ila hata vyakula huwa wanamwaga kila kukicha na Australia hawana ujinga huo hupiti hata kama una Apple 🍎 moja

Kwa kumalizia waarabu hawahusiki hapo kwani kama kuvusha vitu ni mswahili ndio wa kwanza kuiuza nchi yake
Kama hizo ngozi zimetolewa vibali au la kuna mengi yanapitishwa na hayajaanza leo na watoaji kuanzia vibali na utotoshaji ni waswahili wenyewe

Rejea dhahabu zilizokamatwa na hata mafuvu haya mtasema mdubai ndio aliyauza kwa mjerumani?
Screenshot_20230908_181416_Instagram~2.png
 
Siku hizi Austria ni ya Waarabu
Austria na Australia ni nchi mbili tofauti wewe..
Ni wazi Australia siyo nchi ya Waarabu, ila wanaweza kupeleka kuuza huko, kama ambavyo hata wewe unawrza.
Tatizo ni wizi wa nyara
 
Kasome post
Kuna utetezi mwingine usio na mantiki. Umeona hata hao Wahusika na wasimamizi (TAWA) hapa kwetu nchini wanasema kuna uwalakini. Japo walitakiwa wao kuwa wafuatiliaji toka hapa nchini si kusubiri kitu kikamatwe.

Swala si Austria ni ya waarabu( Japo umekurupuka si Austria bali Australia. Austria ipo Ulaya ni nchi mbili tofauti) kama ulivyoandika.
Biashara isiyo halali/halali inaweza fanywa kokote na mtu yoyote. Kwani waarabu hawawezi fanya biashara nchi nyingine! Ha ha ha!

Nasahihisha tu kauli yako japo si lazima wawe waarabu. Ila utetezi wako ni ziro.
Mama nchi imemshinda!
Kanisome post #164

Hatetewi mtu.
 
Austria na Australia ni nchi mbili tofauti wewe..
Ni wazi Australia siyo nchi ya Waarabu, ila wanaweza kupeleka kuuza huko, kama ambavyo hata wewe unawrza.
Tatizo ni wizi wa nyara
Huo wizi umethibitishwa na nani? Na nani huyo mwizi,?

Waarabu?
 
loliondo-police-maasai-looking-on.jpg

Picha ikimuonyesha Mmasai akiwacheki vibaraka wa Otterlo Business Corporation (OBC),kampuni ya utalii ya kifahari ya Big- game tourism inayomilikiwa familia ya kifalme ya Falme za Kiarabu.

Kampuni hiyo inaendesha uwanja wa ndege Ngorongoro kwa wawindaji nyara.

Siku za mbele, wataanza kubeba Binadamu kwenda kuwa watumwa huko Arabuni.
Binadamu mbona official kabisa, siku nyingi sana. FĂ milia zao zinawaaga eyapoti kwa shangwe na furaha. Cheza na Dirham wewe.

Kumbe umelala?
 
loliondo-police-maasai-looking-on.jpg

Picha ikimuonyesha Mmasai akiwacheki vibaraka wa Otterlo Business Corporation (OBC),kampuni ya utalii ya kifahari ya Big- game tourism inayomilikiwa familia ya kifalme ya Falme za Kiarabu.

Kampuni hiyo inaendesha uwanja wa ndege Ngorongoro kwa wawindaji nyara.

Siku za mbele, wataanza kubeba Binadamu kwenda kuwa watumwa huko Arabuni.
Hiyo toka enzi za Mwinyi, mbona wapo wengi tu wenye vitalu?

Kuna nwenye kitalu kikubwa Tanzania hii zaidi ya mzungu?

Ndiyo kwanza leo umeamka?
 
Hiyo toka enzi za Mwinyi, mbona wapo wengi tu wenye vitalu?
Hilo halina Ubishi, na kwa mantiki ya hoja yako, nikuulize, Mzee wangu hakuwa Mzanzibari? ? Utajijiju
Kuna nwenye kitalu kikubwa Tanzania hii zaidi ya mzungu?
Hoja siyo mwenye kitalu au vitalu, hoja ni wizi wa Nyara za Serikali
Ndiyo kwanza leo umeamka?
Hivi hizo shule unazodai kudhuru ulienda kusomea ujinga? Ati ndio nimeamka.

Taarifa ndio hiyo, tulia.
 
Hilo halina Ubishi, na kwa mantiki ya hoja yako, nikuulize, Mzee wangu hakuwa Mzanzibari? ? Utajijiju

Hoja siyo mwenye kitalu au vitalu, hoja ni wizi wa Nyara za Serikali

Hivi hizo shule unazodai kudhuru ulienda kusomea ujinga? Ati ndio nimeamka.

Taarifa ndio hiyo, tulia.
Hoja ni wizi au siyo?

Sasa unaibiwa wewe tu miaka yote, utakuwa ni mjinga.

Nyara tunaona zimeshikwa Australia analaumiwa Mwarabu. Kisa nini?Duh.

Mwarabu hajawah I n j ufanya chochote kinyume cha sheria, anafata sheria anabambikiwa yeye, je asipofata?

Semeni, hizo nyara zimeshikwa kwa Mwarabu?
 
Ha ha. Ungejua. Wacha nikuache tu.
Uniwache kwani tuliowana lini? Unaota?

Huelewi kuwa watu wanapelekwa nje ya Tanzania kila siku? Wengine wanakimbilia ushoga nchi za magharibi?

Waarabu wanachukuwa vidosho vya Kirangi na Kinyaturu kwa wingi.
 
Back
Top Bottom