Dada una tatizo gani kwani? Uwindaji wakuruhusiwa ni tofauti na ujangili. Tayari TAWA inasema haijatoa kibali. Unafikiri wengine hatujui kuna uwindaji halalo kwenye mipaka ya Tanzania?Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com