Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Wameshindwa kudhibiti nyara zisitoke nchini, wataweza vipi kuchunguza?
 
Labda Magufuli afufuke ndio uchunguzi utafanyika tofauti na hapo wasitufanye wajinga kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Dada una tatizo gani kwani? Uwindaji wakuruhusiwa ni tofauti na ujangili. Tayari TAWA inasema haijatoa kibali. Unafikiri wengine hatujui kuna uwindaji halalo kwenye mipaka ya Tanzania?
Huyo dada kajaa udini ni wa kupuuzwa, wenye mamlaka husika wanasema hawajatoa vibali wapo kwenye uchunguzi yeye anadai ni wanyama ambao wameuawa kihali kwa baraka za wenye mamlaka. Kuna shida mahali kwa mwezetu huyu.
 
Sasa wamescan, si lazima walinde usalama wa kwao? Au?

Hakuna ushabiki, usiwe mjinga, Tnzania tuna sheria inayoruhusu kuwinda na kuwakausha wanyama na kuwasafirisha.

Tuna sheria mpaka ya kusafirisha wanyama wakiwa hai. Tusiwe wajinga.

Kuna vyura tumepeleka USA tena tunavilipia kuwekwa huko. Au ulikuwa hujazaliwa bado? Soma kuhusu vyura wa kihansi.

Usifikiri watu wote tu wajinga kama wewe, hata sheria za kwenu huzijuwi.
Wewe utakuwa muongo bila shaka, maana unajitahidi kudanganya kuwa hilo jambo ni halali, wakati mamlaka pekee inayotoa vibali (TAWA) imesema haikuhusika, meaning itakuwa ni biashara haramu.
👇👇
 
Wiki hii kuna wanakijiji wamehukumiwa vifungo vya miaka 30 jelq kwa kukutwa na kilo kadhaa za nyama pori. Huu ni uonevu.
 
Wewe utakuwa muongo bila shaka, maana unajitahidi kudanganya kuwa hilo jambo ni halali, wakati mamlaka pekee inayotoa vibali vya hilo imesema haikuhusika..
👇
Kanisome tena nilichoandika.

Mamlaka ipi inayotowa vibali na wapi inesema kuwa hiyo biashara haramu?
 
Wiki hii kuna wanakijiji wamehukumiwa vifungo vya miaka 30 jelq kwa kukutwa na kilo kadhaa za nyama pori. Huu ni uonevu.
Wanyapori wote ukitaka kuwinda unachukuwa kibali, tena kuna vijiji wamerahisishiwa unachukuwa kibali serikali ya kijiji tu.
 
Kanisome tena nilichoandika.

Mamlaka ipi inayotowa vibali na wapi inesema kuwa hiyo biashara haramu?
Biashara ya madini ni halali, lkn ukiifanya bila vibali inakuwa jinai..

Biashara yoyote hata kama ni halali, ikifanywa kwa magendo bila vibali inakuwa ni HARAMU..

1694195264052.png

1694195336587.png
 
Silioni tatizo kama sheria na kanuni zilifatwa.

Sasa ingekuwa sheria imefuatwa mzigo ungesafirishwa kwa kufichwa jamani?
 
Kwani haikufatwa sheria?

Siku hizi Austria ni ya Waarabu?
Kuna utetezi mwingine usio na mantiki. Umeona hata hao Wahusika na wasimamizi (TAWA) hapa kwetu nchini wanasema kuna uwalakini. Japo walitakiwa wao kuwa wafuatiliaji toka hapa nchini si kusubiri kitu kikamatwe.

Swala si Austria ni ya waarabu( Japo umekurupuka si Austria bali Australia. Austria ipo Ulaya ni nchi mbili tofauti) kama ulivyoandika.
Biashara isiyo halali/halali inaweza fanywa kokote na mtu yoyote. Kwani waarabu hawawezi fanya biashara nchi nyingine! Ha ha ha!

Nasahihisha tu kauli yako japo si lazima wawe waarabu. Ila utetezi wako ni ziro.
Mama nchi imemshinda!
 
Uchunguzi wa Nini Sasa wakati wameruhusu watu kumiliki vitalu vya uwindaji
 
Back
Top Bottom