Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Silioni tatizo kama sheria na kanuni zilifatwa.

Sheria na kanuni zikifuatwa kuna ukamataji utatokea kama wanavyosema hapo!!??
Hizo shule ulienda kusomea ujinga!!??
 
Silioni tatizo kama sheria na kanuni zilifatwa.

Mbona unatetea vitu usivyo vijua ww
 
Msimamizi (Mhifadhi mkuu) mwenyewe ni kada wa CCM, msanii wa nyimbo na pia aliwahi kuwa mbunge viti maalumu kwanini WIZI usifanikiwe na yeye anajinasuaje na tuhuma hii ya utoroshaji wa nyara za serikali?

Aibu sana serikali hii, scanner za uwanja wa ndege JNIA ai KIA kushindwa kubaini kilichofungashwa ndani ya mzigo!
Mhifadhi mkuu ?? Sio kweli! Tulia soma vzr mkuu .
1694169157645.png
 
Kwanza mnaosema sema waarabu humu, ilifaa muwashukuru, jana wamemwekea heshima mama Samia kuwawachgia muingie Afcon.
Okay ukweli unaaza kujidhihirishs SS 🤣 , Ina maana ushindi wa Jana ni wa sa100 na Sio timu ya Mpira🤣🤣
 
Kuna jamaa alikutwa na 20kg za tandala kama kitoweo na akala mvua ya 20yrs yaani kila 1 kg ni mwaka mmoja uwezi ona hatua zozote Juu ya hili imeenda hiyo
 
Hakuna uhujumu wowote hapo, unafahamu maana ya uhujumu uchumi wewe?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Som hii nini?:

Mbona kwa wakina dr.slaa mlisema ni uhaini inamaana mlikuwa hamjui uhaini ni nini!!??
 
Kwanza mnaosema sema waarabu humu, ilifaa muwashukuru, jana wamemwekea heshima mama Samia kuwawachgia muingie Afcon.


Ahsante.


Nilijua kuna jambo maana kiwango cha vijana jana na matokeo yake hata haviendani.




Amefanikiwa kuteka kundi la muhimu katika ujenzi wa taifa, wote wamekua wacheza kamari, wachambuzi uchwara, wadangaji na machawa.

Kazi ya ujenzi wa Taifa ameachiwa Mzee Kinana, UVCCM, Kitenge, Mwijaku na Baba Levo.





Kweli anaupiga mwingi.
 
Mama anavuja kila mahala kama pakacha na bado yapo mengi kuelekea 2024 kabla ya 2025.

Siku akiondoka Ikulu itabidi lichongwe sanamu lake zuuuri na kuuubwa mithiri yake alivyo likawekwe juu ya mlima Kilimanjaro Ili kuendelea kuvutia watalii waje kuandika historia mpya maishani mwao
😂😂😂😂
 
Hao wakaguzi wa kizungu wametushangaa sana inakuwaje tunaruhusu kuawa kwa simba mkubwa kama vile.

Inasikitisha sana.
Mkuu wewe unashangaa kuwa Simba watu wanaua Tembo
 
Silioni tatizo kama sheria na kanuni zilifatwa.

Kama scanner za KIA na viwanja vingine hazijahujumiwa basi hizo nyara za serikali zisingeondoka Tanzania pia vibali vyote vyatakiwa kuwa ni vibali sahihi.
 
Back
Top Bottom