Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Australia wako na strict rules ikija masuala ya kuingiza vitu huko ukiangalia clip hiyo wanaongelea pia kama kuna wadudu wanaoweza kuwa humo kwenye ngozi
Ila hata vyakula huwa wanamwaga kila kukicha na Australia hawana ujinga huo hupiti hata kama una Apple 🍎 moja
Kwa kumalizia waarabu hawahusiki hapo kwani kama kuvusha vitu ni mswahili ndio wa kwanza kuiuza nchi yake
Kama hizo ngozi zimetolewa vibali au la kuna mengi yanapitishwa na hayajaanza leo na watoaji kuanzia vibali na utotoshaji ni waswahili wenyewe
Rejea dhahabu zilizokamatwa na hata mafuvu haya mtasema mdubai ndio aliyauza kwa mjerumani?