Hii taarifa kwa umma ni uthibitisho kuwa mamlaka zetu kuanzia TAWA yenyewe ni aidha zimesinzia au ni corrupt!Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2743460
View attachment 2743489
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
View attachment 2743103
View attachment 2743104
Tunaibiwa sana...Na Gulfstream inaonekana mara kwa mara Dubai, si ajabu inabeba nyara na madini.
Mnakumbuka Mrema wakati ni Naibu PM aliwahi kukamata mzigo mkubwa wa madini ambao baadae ilikuwa kubainika ulikuwa wa mke wa zee moja lilikuwa magogoni linafanya magendo
Vicky kamata, kakamata kweli kweliNi nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2743460
View attachment 2743489
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
View attachment 2743103
View attachment 2743104
Wamekagua wapi? Mbona Wasomalia wana kamatwa ndani ya nchi kila siku? Wakenya na Wa Congo wamejaa Tz kama utitiri. Vitambi tu wamejazana. Hizo nguo ni kazi yao?
Ww unadhani wahalifu wa America vs Mexico ndio hawa wa Tz? Mji gani Tz una kuwa Monitored na CCTV Camera au Satellite kila tukio? Wale wana tumia Elimu kubwa kuiba au Kupenya. Watu wana chimba mitaro hadi gerezani kutorosha boss wao. Hawa wa Tz hata Mgambo ana uwezo wa ku control.America wana extreme measures kwenye border control lakini magendo bado yanapita? Madawa yanapita, human traffick rings bado zinasafirisha wahamiaji haramu, raia wa kigeni bado wamo na hawana permit ya kuishi
Je wao ni wazembe? wana vitambi wamejazana makazini hawana kazi?
Huwezi kuzuia uhalifu 100% hata siku moja. Unadili na binadamu si wanyama
Ukizuia hapa wao wana buni kingine
Ni cycle isiyo isha
MazaNani aliwapa?
Ww unadhani wahalifu wa America vs Mexico ndio hawa wa Tz? Mji gani Tz una kuwa Monitored na CCTV Camera au Satellite kila tukio? Wale wana tumia Elimu kubwa kuiba au Kupenya. Watu wana chimba mitaro hadi gerezani kutorosha boss wao. Hawa wa Tz hata Mgambo ana uwezo wa ku control.
Sasa kwa hao wanajeshi wetu wa kupasua matofali karne ya 21. Wataweza kuzuia uhalifu ulio enda shule au Mikutano ya CHADEMA tu?Uhalifu ni uhalifu, na wanapita border zote by any means, any route.
America nimeitumia kama reference kukuonyesha tu kuwa hakuna nchi ambayo iko magendo free, yaani hamna usifirashaji nyara 100% .
Hawa wa tz eti hata mgambo?
Si wezi hao ni vibaka, street level thievs.
The real one wana power, ifluence, wana mtandao wao mrefu, sometimes unahisisha hadi leaders.
Ndio hawa wanapenyeza vitu vizito
Kabisa mkuu, hatuna viongozi kabisaHii nchi inaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana. Unawezaje kuruhusu upumbavu kama huu kufanyika katika nchi yako?.
Bora mzungu aje atutawale tu, ila tabia hizi za kishenzi na upumbavu haziwezi kutufikisha popote kama Taifa.
Ndiyo maana tunadharaulika huko duniani, tunaonekana kama nyani tu.
Pumbavu kabisa.