ndio maana hatutaki uwekezaji wa waarabu, ni washenzi watatuharibia nchiWaarabu wamepewa KIA hakuna namna
Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Duh...!.Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Silioni tatizo kama sheria na kanuni zilifatwa.Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Siku watakapoisha wanyama naamini waarabu watawakamata wale wakijani na kuwasindika Kisha kuwapeleka ughaibuniNi nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Mbona video ya kutengeneza hii..sio uhalisia na ulichoandika!! Hiyo ngozi ya chui si ndio ile alievishwa samia na machifu?Waarabu wamepewa KIA hakuna namna
Santeee mama Sa100 na CCM yetuNi nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Hakuna uhujumu wowote hapo, unafahamu maana ya uhujumu uchumi wewe?Ingekuwa ni magufuli waliohusika na uhujumu uchumi huo wote wangetiwa jambajamba kama si kuharisha kabisa. Nchi haiwezi kugeuzwa shamba la bibi kiasi hiki kila muhuni ajivunie mazao shambani anavyotaka
Sina uhakika kama Imeruhusiwa Kuvuna kwa kuua wanyama hao Simba na Chui.
Ila ninachojua ni kuwa Serikali huwa inatoa Vibali kila mwaka vya Uvunaji wa Wanyama pori kwa wageni na Wenyeji.
Ila kama Uvunaji na utoroshaji huo umefanyika bila kufuata sheria, basi Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vitakuwa havitusaidii.
Ni aibu ilioje Utajiri ulipo utumike na wachache kujinufaisha wakati wazawa tumelala Usingizi wa Pono 🙌