Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu with all due respect unakosea kulinganisha namna tiba asili zinavyo tolewa na zile kisayansi za hospital.Kwa akili yako unafikir kuna mganga wa kienyeji au mitishamba anaujua ugonjwa unaitwa chronic inflammatory demyelinating polyneuropathy mpaka ajue dawa ya kuutibu? Au huyo mganga anatibu ugonjwa ambao haujui wala hajawahi hata kuusikia?
Wao wamepata ujuzi kwa njia ya apprenticeship toka kwa mababu n.k.
Au kwa kujaribu mpaka wanapata tiba sahihi.
Hawafanyi diagnosis kama hospital.