Avatar ya kike kumbe mwanaume

Ndiyo hivyo tena, sasa vingine mana yakenini hilo jambo?
Al-Watan unanifurahishaga sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja wakuje wanyonya ashikirimu
 
Me huwa nawaza mbali sana nikiona me kaweka avatar ya ke nahisi kama anatuonea wivu sisi kuwa ke yaan nawaza vingi jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie da nimecheka hatari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie da nimecheka hatari
Kweli ujue ananifanya niwaze vitu vigumu tu kuhusu kuweka avatar ya ke we rijali unawekaje avatar ya ke mambo yenyewe jf vururu vururu hayaeleweki id fake avatar fake unakuja kuweka na avatar ya ke kama sio kutuonea wivu ninii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…