mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
Usikute ndo muhusika wa hiliHii thread inamuhusu pia DJ Sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute ndo muhusika wa hiliHii thread inamuhusu pia DJ Sepetu
HahaSi nilivomuita shoga angu...kanitolea uvivu leo kichambo cha haja. Ndio namuambia shemeji angu hapo nimechambwa
Nakusalimia tuu mimiSikuizi ban hakuna....[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mmh!labdaUsikute ndo muhusika wa hili
Nakwambia? Keyshia kaor mwenyewe si wa nchi hiiAIsee ni hata ilikuwa live kwa BET Chanel. Hatari sana ile keki sana
Duhhh......Nakusalimia tuu mimi
Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).
Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu poa. Akanitext tena mzima,nikajibu mzima. Unaishi wapi,mie nikajibu Tanzania. Akasema nimeona uzi wako wa lyrics unapenda sana mziki nikamwambia ndio napenda sana.Basi siku ikapita.
Nikasema ngoja nicheki profile ake,haja specify male or female. Nikacheck avatar kuna picha ya murembo basi nikajisema kuwa mdada huyu.
Siku nyingine akanitext tena,tukachat kidogo lakini ishu ya entertainment aka declare anampenda diddy huyu sean.
Sasa mi nikamwambia shoga angu unajua diddy juzi kafunguka kuhusu accusation ya Nelly kubaka?hakunijibu. Nami nikapotezea. Siku nyingine kimbelembele kikanijaa nikamtumia picha diddy yuko kwenye mane event,hii harudi ya gucci mane na keyshia kaoir nayo hakujibu na akamute ghafla. Basi na mimi nikampotezea.
Leo eti analalamika kwanini namuita shoga angu!!! Nikamwambia hiyo kawaida wadada kuitana hivo. Kwanini asibichambe,eti ye sio mdada yeye man. Nikamuuliza mbona avatar ya kike kanijibu haikuhusu. Chaaaaa!!!!
Nyie wakaka,basi muwe mnaweka avatar hata za magari![]()
![]()
maana tunajua wadada wapenda magari magari kina maserati na ferrari tuko wachache sana.![]()
I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.
Siku njema wakuu.
Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).
Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu poa. Akanitext tena mzima,nikajibu mzima. Unaishi wapi,mie nikajibu Tanzania. Akasema nimeona uzi wako wa lyrics unapenda sana mziki nikamwambia ndio napenda sana.Basi siku ikapita.
Nikasema ngoja nicheki profile ake,haja specify male or female. Nikacheck avatar kuna picha ya murembo basi nikajisema kuwa mdada huyu.
Siku nyingine akanitext tena,tukachat kidogo lakini ishu ya entertainment aka declare anampenda diddy huyu sean.
Sasa mi nikamwambia shoga angu unajua diddy juzi kafunguka kuhusu accusation ya Nelly kubaka?hakunijibu. Nami nikapotezea. Siku nyingine kimbelembele kikanijaa nikamtumia picha diddy yuko kwenye mane event,hii harudi ya gucci mane na keyshia kaoir nayo hakujibu na akamute ghafla. Basi na mimi nikampotezea.
Leo eti analalamika kwanini namuita shoga angu!!! Nikamwambia hiyo kawaida wadada kuitana hivo. Kwanini asibichambe,eti ye sio mdada yeye man. Nikamuuliza mbona avatar ya kike kanijibu haikuhusu. Chaaaaa!!!!
Nyie wakaka,basi muwe mnaweka avatar hata za magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana tunajua wadada wapenda magari magari kina maserati na ferrari tuko wachache sana.
I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.
Siku njema wakuu.
Utakuta jamaa ni shoga ndio maana vichambo anavyo sihaba....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Haha
Pole mnooo, hicho kichambo cha mwanaume sikipatii picha
Yes naona amekanusha hiyo kituDada msupu yuleee. Na nimeona kakanusha hamna mtoto
Njoo unisalimie PM nawewe nikuchambe.....[emoji12] [emoji12]Nakusalimia tuu mimi
M-block, then tiririka na hatoona chochote utakacho post walaku commentAsante mwaya. Hapa nimeandika hili wakati nishajitoa kwenye ile conversation. Naogopa kichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shoga angu![]()
![]()
you are missed today![]()
I can't even explainyou are missed today
Mi ningevumilia,huenda ingefika cku ningetafuna huu muwa[emoji14] [emoji39]Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.