Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,084
Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.
Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf ambao nilivutia nao hasa kwenye michango yao kwenye thread mbalimbali.
Kinachonikuta huko ni siri yangu, mana wengi wananiponda na kunambia nina akili kama avatar yangu.
Kiukweli hiyo avatar/profile picture yangu haina uhusiano kabisa na akili wala sura yangu!!
Warembo!! Mimi ni handsome boy sana, nikiwafuata pm msidhani mmefuatwa na nguruwe.. Na wala sina mpango wa kuibalisha...tuvumiliane.