Avatar yangu imenikosesha warembo wa Jf niliowafuata pm

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,084
Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.

Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf ambao nilivutia nao hasa kwenye michango yao kwenye thread mbalimbali.
Kinachonikuta huko ni siri yangu, mana wengi wananiponda na kunambia nina akili kama avatar yangu.
Kiukweli hiyo avatar/profile picture yangu haina uhusiano kabisa na akili wala sura yangu!!
Warembo!! Mimi ni handsome boy sana, nikiwafuata pm msidhani mmefuatwa na nguruwe.. Na wala sina mpango wa kuibalisha...tuvumiliane.
 
Unataka nyota ya kupendwa na wanawake, kwani we mwanamuziki?
 
Badilisha approach.. anza na "disclaimer" mazungumzo yangu hayana uhusiano na Avatar yangu.
 
Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.

Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf ambao nilivutia nao hasa kwenye michango yao kwenye thread mbalimbali.
Kinachonikuta huko ni siri yangu, mana wengi wananiponda na kunambia nina akili kama avatar yangu.
Kiukweli hiyo avatar/profile picture yangu haina uhusiano kabisa na akili wala sura yangu!!
Warembo!! Mimi ni handsome boy sana, nikiwafuata pm msidhani mmefuatwa na nguruwe.. Na wala sina mpango wa kuibalisha...tuvumiliane.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha jf kisima cha burudani
 
mkuu, kumbe ndo weweeee..!, kuna warembo jinsia ya kike walileta Uzi wa kulalamika kufwata PM na kutongozwa na ME, na kila MTU akawa anamtupia mpira mwenzake, kwa hiyo umeleta mrejeshoo, sasa subiri wake wathibitishee kama we ni mmoja wapo, na hiyo avatar yakoo, lazima ulikataliwa tuuuu
 
Back
Top Bottom