nilijipa pumziko la moyo my dear kunguru mwoga mie............am back
😀
naona umeamua kutoka kivingine mamii..............
klorokwini akirudi atakutafuta kweli maana alikariri avatar na si jina!!!
khaah!yaani umebadili kweli?kwa ujumla sasa hivi hutambuliki,mimi mwenyewe nshakusahau lakini ilivutia sana mmh:Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
Kumbe some people are more serious with this issue? mi nilijua mtu akicomment kuhusu avatar or signature ni kama utani vile!! any way we r living in different world now everything possible!!
Kulikoni? Tujuze wenzako pengine kuna kitu kimejificha kwenye hilo, kuwa wazi bibie.Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
ha ha ha bibie umenikumbusha mbege dah ntarudi tu mgombani!! nilikua na ya kwanza ya nyoka ila watu walilamika nikaitoa...hii asee niliitolea maelezo kule kwenye avatar yako inamaanisha nn!! Aika mae kwa kunikumbusha mbege!!sasa mangi kama hiyo yako............nashindwa nisemeje!!! ulianza mbege au sigareti???
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
ha ha ha bibie umenikumbusha mbege dah ntarudi tu mgombani!! nilikua na ya kwanza ya nyoka ila watu walilamika nikaitoa...hii asee niliitolea maelezo kule kwenye avatar yako inamaanisha nn!! Aika mae kwa kunikumbusha mbege!!
Hii mila hatuwezi acha asee...."lakucha mae" let me sign offheheee wachaga wanaanzaga mbege tangu tumboni mwa mama.......its health bana
aika mbe!!!
yangu je haimkwazi mtu???
Carmel.
out of curiousity..
unafikiri ya kwako
imewapa watu mawazo gani??
mimi naona hiyo iliyopo ni safi tu.
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.
I know but what can i do? nachoka kuwaambia kwamba I am successful and happily married and that i dont need any of them. Natafuta avatar itakayotoa hii msg.
I don't even remember your Avatar, so siwezi kusema kama ilinikwaza au
Pearl na wewe badili basi ya kwako na Binti Maringo naye abadili
Ya kwako ina mvuto.
Poa poa.Nimekugongea Senks Mkuu GS
Du sisi wengine tunaopiga box 16hrs a day kule UPS na FEDEX tukirudi home hoi, kwa hiyo hata hizo avatar huwa hatuzioni kabisaa!. Kumbe tunakosa mambo, we need to pay attention my fellow box handlers.kuna THREAD ilikuwepo hapa kuhusu majina ya members JF,kila mtu alisema jina lake linamaanisha nini,wengi nick name zao zilishabihiana na wao wanavyojichukulia, sasa naona the same applies to AVATAR watu wanahisi zinapresent mtu alivyo,binafsi nikiona ya FIRSTLADY,PEARL,BINTI MARINGO na JS na-assume ndio walivyo hata kama najua picha sio zao,but kutongoza thats a step too far.