Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sijapata PMs kihivyo sijui big braza unaniekea kamkono hapo???? nabadilisha nieke inayoappeal zaidi halafu nione kama nitapata PMs nyingi au unasemaje????
Ili mradi isihusishe maeneo ya baioloji, ukipata mimba usinilaumu. Hujasikia mambo ya manyoya? Huoni dadako Lily Flower kaamua kuweka milonjo yake kwa avatar? Watu wanahangaika na misheshe yeye anachapa mwendo!