Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Kaka Kuepuka matatizo ni bora uweke miguu maana wengi hawako addicted nazo.Ili mradi isihusishe maeneo ya baioloji, ukipata mimba usinilaumu. Hujasikia mambo ya manyoya? Huoni dadako Lily Flower kaamua kuweka milonjo yake kwa avatar? Watu wanahangaika na misheshe yeye anachapa mwendo!
kwa kweli mnakosa mengi aisee. muwe mnapumzika kidogo.Du sisi wengine tunaopiga box 16hrs a day kule UPS na FEDEX tukirudi home hoi, kwa hiyo hata hizo avatar huwa hatuzioni kabisaa!. Kumbe tunakosa mambo, we need to pay attention my fellow box handlers.
Kaka Kuepuka matatizo ni bora uweke miguu maana wengi hawako addicted nazo.
Haaaaaaa, kumbe hicho ndo kijumba cha kudumishia mila?
Kaka kwenye hicho kijumba purukushani zikizidi si ni balaa hukawii kuona nyasi zina fly over.Mi ndo maana nimeweka picha yangu nikiwa nje ya kijumba changu cha kudumishia mila. Vibinti vinanipotezea tu!
Huko ukiingia mlango ukifungwa hata upige kelele kwa matarumbeta, sauti haitoki nje. Ni Full Sound Proof!Kaka kwenye hicho kijumba purukushani zikizidi si ni balaa hukawii kuona nyasi zina fly over.
bado mydia, natafuta itakayotoa ujumbe mahsusi.
try this one ..PMπ
duh!! kazi kweli kweli.Huko ukiingia mlango ukifungwa hata upige kelele kwa matarumbeta, sauti haitoki nje. Ni Full Sound Proof!
binamu mbona unakimbizana na upepo binamu wangu...
mwnzangu watu wanataka kunitoa macho huku kwenye pm lol! mie mke wa mtu siuzi! am not available at all. kuna kufuliπ