Avatar

Avatar

Ili mradi isihusishe maeneo ya baioloji, ukipata mimba usinilaumu. Hujasikia mambo ya manyoya? Huoni dadako Lily Flower kaamua kuweka milonjo yake kwa avatar? Watu wanahangaika na misheshe yeye anachapa mwendo!
Kaka Kuepuka matatizo ni bora uweke miguu maana wengi hawako addicted nazo.
 
Du sisi wengine tunaopiga box 16hrs a day kule UPS na FEDEX tukirudi home hoi, kwa hiyo hata hizo avatar huwa hatuzioni kabisaa!. Kumbe tunakosa mambo, we need to pay attention my fellow box handlers.
kwa kweli mnakosa mengi aisee. muwe mnapumzika kidogo.
 
Kaka Kuepuka matatizo ni bora uweke miguu maana wengi hawako addicted nazo.

Mi ndo maana nimeweka picha yangu nikiwa nje ya kijumba changu cha kudumishia mila. Vibinti vinanipotezea tu!
 
Mi ndo maana nimeweka picha yangu nikiwa nje ya kijumba changu cha kudumishia mila. Vibinti vinanipotezea tu!
Haaaaaaa, kumbe hicho ndo kijumba cha kudumishia mila?
 
Mi ndo maana nimeweka picha yangu nikiwa nje ya kijumba changu cha kudumishia mila. Vibinti vinanipotezea tu!
Kaka kwenye hicho kijumba purukushani zikizidi si ni balaa hukawii kuona nyasi zina fly over.
 
Kaka kwenye hicho kijumba purukushani zikizidi si ni balaa hukawii kuona nyasi zina fly over.
Huko ukiingia mlango ukifungwa hata upige kelele kwa matarumbeta, sauti haitoki nje. Ni Full Sound Proof!
 
kusema kweli mi nilikua najiuliza hivi watu wanaoniPM wakinitongoza wanavutiwa na nini wakati hata hawanijui nikoje,kumbe wanatizama avatar.duuu!
 
Avatar na jinale vinabeba/vinaongoza kuona mtu huyo yukoje
 
Back
Top Bottom