Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Mcofu.Tusharudi kwenye topic.hali ya hewa ishatulia.Usikimbie jamani, mmmh. hata mi nashangaa kulikoni leo hivi, halafu live live.
tuendeeeee.................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mcofu.Tusharudi kwenye topic.hali ya hewa ishatulia.Usikimbie jamani, mmmh. hata mi nashangaa kulikoni leo hivi, halafu live live.
tuendeeeee.................
unaweza ukawa unakula jiwe na kudeal now huko kwenye pm, wengine wanaelewa, na wengine wapya wanajiunga humu janvini, basi usiseme. si kwamba nimeshindwa kudeal now ila, nini suluhisho la kudumu kwa faida ya wote? kuna umuhimu wa kutoa elimu huku ili wanaume wasishobokee hizi avator, ni picha tu for christ sake. mi mwenyewe ukiniona ni mbaya siikaribii hata hiyo avator kwa robo. so si vyote muonavyo vinang'aa ni dhahabu.Na mtu anapoweka hiyo avatar anategemea kitu fulani au anaichagua kwa sababu fulani,
sasa kama watu watazidisha hizo PM si una kula jiwe tu... nini tena ??
Mbona huu msisitizo umezidi? una ajenda gani ya siri wewe?Kwani na wewe unamuvuzishwa na avatar?Unakumbuka nilikushaurije?
Narudia tena mamaa la Carmel!
Ukiitoa hiyo avatar unaingia kwenye IGNORE LIST yangu
Umenisababishia dhambi nyingi na hiyo ya kwako!😀😀
ibadilishe bana
WAKATINIPO FORM THREE,nakumbuka kuna washkaji(wenzetu walikuwa wakubwa kidogo) walikuwa wanakuja na chupi za wanawake(wapenzi wao KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO)..!wameziweka kwenye ma-tranka humo wanadai zinawapandisha stimu...!maisha ya booding bana😀Mbona huu msisitizo umezidi? una ajenda gani ya siri wewe?Kwani na wewe unamuvuzishwa na avatar?
hehehehe!do you think so?Ha ha haaaaa, siamini avatar ilikuwa inakusababishia dhambi, yale mathread yako mi nilidhani ngangali, kumbe avatar tu inakusababishia dhambi, sasa ungekutana naye je?
usianze kunisema mie nakusikia...😀
sasa nyie hata avatar zinawagusa... lol... this shows how ur brain function... sisi wanawake tunakuwa hatukusidii hivyo... hata ukivaa nguo ukapendeza mijitu itaaanza kukubore kama umewavalia wao... 😕
na hiyo ndo raha ya dunia mama................... ndio maana mwanaume ni kiumbe cha pekee kwa mwanamke.............. kwani uchokozi wa mwanume hauleti vita bali mapendo.................... pamoja na huko kukubore badu humuachi, unaye tu mpaka kieleweke na kamwe hakieleweki mpaka kifo.................... kuna siri kubwa hapo. msitukandie tunapowasaeandia. tutieni moyo kwani kwa kufanya hivyo ndo tunawahifadhi msipoteee................... naam God is great.....................
ah ah ah u made my dei swty,maybe tufanye hivyo eti eeeeeeh,na wao waandike baba chausiku,mzee wa kupitia tu madem,jambazi,kaoa kaacha,asiye na huruma etc
hizo story naskia wanafanyaga wanajeshi wakienda vitani lol. wanaume mna mamboWAKATINIPO FORM THREE,nakumbuka kuna washkaji(wenzetu walikuwa wakubwa kidogo) walikuwa wanakuja na chupi za wanawake(wapenzi wao KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO)..!wameziweka kwenye ma-tranka humo wanadai zinawapandisha stimu...!maisha ya booding bana😀
dah! ebwanaeee.WAKATINIPO FORM THREE,nakumbuka kuna washkaji(wenzetu walikuwa wakubwa kidogo) walikuwa wanakuja na chupi za wanawake(wapenzi wao KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO)..!wameziweka kwenye ma-tranka humo wanadai zinawapandisha stimu...!maisha ya booding bana😀
sasa tabu ote ya nini kubadili ma-ID?????/// mnakimbia majukumu ya kuwa wanawake????????? huo mnaoita usmbufu ndio fursa za pekee kwenu kuirekebisha na hata kuitawala dunia kama mnataka. ndio mpango wa Mungu huo msichoke mapema hivi jamani, hamtaki tuwatongoze.............mmesahau maji hufuata mkondo?....................hata mkibadili, mtatongozwa tu. si mnatembea na kudhibiti"miundombinu stareheshi"??????.
haya anzeni kututongoza nyie kama mnaweza....................
mwanaume HANA KABISA UJANJA akifikiria utupu wa mwanamke!.....AMINI AMINI NAWAAMBIAdah! ebwanaeee.
Nimigundua kumbe wanaume mna tabu sana.japo mnajifanya jasiri na wababe.kumbe mna vishida vya chinichini na inawezekana ni uumbaji si kosa lenu.
dah! ebwanaeee.
Nimigundua kumbe wanaume mna tabu sana.japo mnajifanya jasiri na wababe.kumbe mna vishida vya chinichini na inawezekana ni uumbaji si kosa lenu.
mwanaume HANA KABISA UJANJA akifikiria utupu wa mwanamke!.....AMINI AMINI NAWAAMBIA
ngoja nikusaidie kutafuta Avatar mama yangu mpendwa ....una prefer iweje ??
Kwani na xpin naye huwa anasumbuliwa sana kwenye PM? Carmel yeye tatizo ni Avatar.Sasa xpin tatizo itakuwa ni nini?hahahaah mie pia umenichekesha hivi Chrispin yuko wapi aje abadilishe name ya Avatar yake
sijui itaenda kiivi -muzee ya kufukuzia Iribin