Avatar

Avatar

Na mtu anapoweka hiyo avatar anategemea kitu fulani au anaichagua kwa sababu fulani,

sasa kama watu watazidisha hizo PM si una kula jiwe tu... nini tena ??
unaweza ukawa unakula jiwe na kudeal now huko kwenye pm, wengine wanaelewa, na wengine wapya wanajiunga humu janvini, basi usiseme. si kwamba nimeshindwa kudeal now ila, nini suluhisho la kudumu kwa faida ya wote? kuna umuhimu wa kutoa elimu huku ili wanaume wasishobokee hizi avator, ni picha tu for christ sake. mi mwenyewe ukiniona ni mbaya siikaribii hata hiyo avator kwa robo. so si vyote muonavyo vinang'aa ni dhahabu.
 
Unakumbuka nilikushaurije?
Narudia tena mamaa la Carmel!
Ukiitoa hiyo avatar unaingia kwenye IGNORE LIST yangu
Mbona huu msisitizo umezidi? una ajenda gani ya siri wewe?Kwani na wewe unamuvuzishwa na avatar?
 
hapo ndo mtakuwa mmeharibu!uzoefu unatuthibitishia kwamba hakuna wanawake wenye mvuto KAMA WAKE ZA WATU!.....
skia sasa, hawa viumbe mbona hivi?
 
Unakumbuka nilikushaurije?
Narudia tena mamaa la Carmel!
Ukiitoa hiyo avatar unaingia kwenye IGNORE LIST yangu
hata ukiniweka kwenye ignore list si mbaya sna at least kwa week, ngoja nifanye experiment ingine nione matokeo
 
Umenisababishia dhambi nyingi na hiyo ya kwako!😀😀
ibadilishe bana

Ha ha haaaaa, siamini avatar ilikuwa inakusababishia dhambi, yale mathread yako mi nilidhani ngangali, kumbe avatar tu inakusababishia dhambi, sasa ungekutana naye je?
 
Mbona huu msisitizo umezidi? una ajenda gani ya siri wewe?Kwani na wewe unamuvuzishwa na avatar?
WAKATINIPO FORM THREE,nakumbuka kuna washkaji(wenzetu walikuwa wakubwa kidogo) walikuwa wanakuja na chupi za wanawake(wapenzi wao KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO)..!wameziweka kwenye ma-tranka humo wanadai zinawapandisha stimu...!maisha ya booding bana😀
 
Ha ha haaaaa, siamini avatar ilikuwa inakusababishia dhambi, yale mathread yako mi nilidhani ngangali, kumbe avatar tu inakusababishia dhambi, sasa ungekutana naye je?
hehehehe!do you think so?
 
usianze kunisema mie nakusikia...😀

sasa nyie hata avatar zinawagusa... lol... this shows how ur brain function... sisi wanawake tunakuwa hatukusidii hivyo... hata ukivaa nguo ukapendeza mijitu itaaanza kukubore kama umewavalia wao... 😕

na hiyo ndo raha ya dunia mama................... ndio maana mwanaume ni kiumbe cha pekee kwa mwanamke.............. kwani uchokozi wa mwanume hauleti vita bali mapendo.................... pamoja na huko kukubore badu humuachi, unaye tu mpaka kieleweke na kamwe hakieleweki mpaka kifo.................... kuna siri kubwa hapo. msitukandie tunapowasaeandia. tutieni moyo kwani kwa kufanya hivyo ndo tunawahifadhi msipoteee................... naam God is great.....................
 
ah ah ah u made my dei swty,maybe tufanye hivyo eti eeeeeeh,na wao waandike baba chausiku,mzee wa kupitia tu madem,jambazi,kaoa kaacha,asiye na huruma etc

hahahaah mie pia umenichekesha hivi Chrispin yuko wapi aje abadilishe name ya Avatar yake

sijui itaenda kiivi -muzee ya kufukuzia Iribin
 
WAKATINIPO FORM THREE,nakumbuka kuna washkaji(wenzetu walikuwa wakubwa kidogo) walikuwa wanakuja na chupi za wanawake(wapenzi wao KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO)..!wameziweka kwenye ma-tranka humo wanadai zinawapandisha stimu...!maisha ya booding bana😀
hizo story naskia wanafanyaga wanajeshi wakienda vitani lol. wanaume mna mambo
 
WAKATINIPO FORM THREE,nakumbuka kuna washkaji(wenzetu walikuwa wakubwa kidogo) walikuwa wanakuja na chupi za wanawake(wapenzi wao KWA MUJIBU WA MAELEZO YAO)..!wameziweka kwenye ma-tranka humo wanadai zinawapandisha stimu...!maisha ya booding bana😀
dah! ebwanaeee.
Nimigundua kumbe wanaume mna tabu sana.japo mnajifanya jasiri na wababe.kumbe mna vishida vya chinichini na inawezekana ni uumbaji si kosa lenu.
 
sasa tabu ote ya nini kubadili ma-ID?????/// mnakimbia majukumu ya kuwa wanawake????????? huo mnaoita usmbufu ndio fursa za pekee kwenu kuirekebisha na hata kuitawala dunia kama mnataka. ndio mpango wa Mungu huo msichoke mapema hivi jamani, hamtaki tuwatongoze.............mmesahau maji hufuata mkondo?....................hata mkibadili, mtatongozwa tu. si mnatembea na kudhibiti"miundombinu stareheshi"??????.

haya anzeni kututongoza nyie kama mnaweza....................

Kiongozi kaangalie nimekugongea nini kwenye hii yuziful posti! You are now back to your sense! Thanks man! Baambie papaa!

Nimejitolea kuwa wa kwanza kutongozwa!
 
dah! ebwanaeee.
Nimigundua kumbe wanaume mna tabu sana.japo mnajifanya jasiri na wababe.kumbe mna vishida vya chinichini na inawezekana ni uumbaji si kosa lenu.
mwanaume HANA KABISA UJANJA akifikiria utupu wa mwanamke!.....AMINI AMINI NAWAAMBIA
 
dah! ebwanaeee.
Nimigundua kumbe wanaume mna tabu sana.japo mnajifanya jasiri na wababe.kumbe mna vishida vya chinichini na inawezekana ni uumbaji si kosa lenu.

Na nyie mnaposafiri na mashati ya waume zenu ambayo hayajafuliwa ili muwe mnajifariji na harufu ya kikwapa mbona hamsemi? Au mnafikiri hatuyajui hayo?
 
ngoja nikusaidie kutafuta Avatar mama yangu mpendwa ....una prefer iweje ??
 
hahahaah mie pia umenichekesha hivi Chrispin yuko wapi aje abadilishe name ya Avatar yake

sijui itaenda kiivi -muzee ya kufukuzia Iribin
Kwani na xpin naye huwa anasumbuliwa sana kwenye PM? Carmel yeye tatizo ni Avatar.Sasa xpin tatizo itakuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom