Average ya 40% v/s average ya50%

Average ya 40% v/s average ya50%

huyo oil sumu anatafuta umaarufu humu jf..! kilaza tuu dv3 yake ya HKL,or HGL or HGK..!
 
Last edited by a moderator:
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf

Suala la kwanza ni "Average ya kitu gani?"
 
huyo oil sumu anatafuta umaarufu humu jf..! kilaza tuu dv3 yake ya HKL,or HGL or HGK..!

MKUU Achana na huyo oil sumu, hebu lete hoja yako mkuu, maana huku mtaani wenye vyuo vyenye average ya 50%, wamekuwa wanadai shule yao ni ngumu zaidi
 
Last edited by a moderator:
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf

kabla ya kutoa maoni yangu naomba niuulize swali...! Mkuu mpigamsuli hv kwa nini cutt point ya vyuo vingi mfano ardhi, udsm, st joseph na vyuo vingine ni ndogo i.e 3 kama unaenda kuchukua course za science and technology...? Ila ni cuttng point zake ni kubwa kama unaenda kuchukuaa course za sanaa na biasharaa..? Pia kuhucu average 50% inaweza ikawa kubwa kinamba lakin rahis kuipata kutokana either wingi wa walimu wanaofundisha kwa kujali au pia urahisi wa course yenyewe(note cna maana ya kudharau course ya mtu hapa), Pia average ya 40% inaweza ikawa ndogo kinamba ila ni ngumu kuipata kutokanaa na either aina ya walimu wanaokuzunguka mfano mnaweza mkawa na maprof na Dk wengi lakin hawajali katika kufundishaa mwisho wa cku unakuta mwanafunzi unakuwa mzigo mkubwa wa kujitafutia mwenyewe.., pia hata ugumu/wepesi wa course husika pia ni factor..! So mkuu ni ngumu sana ku generlize shule ipi ngumu na ipi nyepesi kwa kuangalia average tuuuu!! Overrr
 
Last edited by a moderator:
Mkuu darius, hata vyuo vyenye kozi Ambazo unadai ni ngumu average ni 50% , kozi kama ll,b, engineering,bvm,accounting&finance ,
 
Mkuu darius, hata vyuo vyenye kozi Ambazo unadai ni ngumu average ni 50% , kozi kama ll,b, engineering,bvm,accounting&finance ,

mkuu mpigamsuli co vyote average ni 50% hata mwenyewe ukihesabu vyuo vya average 40% ni vingi kuliko vya 50%!! Pia ndo maana nikapupa sababu mbili..! Jaribu kuilewa ile sababu ya pili
 
Last edited by a moderator:
Kama umesoma elimu ya chuo unaelewa nini kinacho maanishwa.

Labda sijasoma elimu ya chuo, kwa hiyo sina haki ya kuelewa hii mada?

Kwa vile mimi sikufanikiwa kuingia chuo kikuu basi hata mambo yanayotokea huko ndio sitakiwi kuyajua?

Na hata kama nimesoma chuo, haina maana kilichoandikwa hapa kinaeleweka

Average ya marks za nini?

Kwenye kuingia chuo? Kwenye kupasi kwa kila somo? Kwenye kuruhusiwa kuingia mwaka mwengine wa masomo kwa average ya masomo yote?

Average marks za kitu gani?
 
OyA wakuu tulieni changieni thread
 
nafikiri hapo kwenye green ndio kinacho bishaniwa hapa..
 
wewe kweli kilaza ina maana hujui 50% na 40% hujui ipi kubwa...inaonekana hukusomaga chekechea ww!
 
nafikiri hapo kwenye green ndio kinacho bishaniwa hapa..

Unafikiri tu na wala huna uhakika.

Na mtu mwengine akiuliza unamletea ngebe kuwa wewe una elimu ya chuo kikuu

Kwa wanafunzi nyie, huko vyuoni nna wasi wasi karibu watalazimika kuweka passing mark ya 20 tu
 
Back
Top Bottom