Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Anyway,ni utoto tu,ukikua utaacha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
sio kwamba akikua akidisco ndo ataacha.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyway,ni utoto tu,ukikua utaacha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Shule ngumu ni ile mabayo imekugomea... 40% na 50% ni mifumo ya chuo
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf
Suala la kwanza ni "Average ya kitu gani?"
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf
Average refers to the sum of numbers divided by n. Also called the mean average.
Sijauliza maana ya Average
Nimeuliza "average ya kitu gani?"
Au unadhani hiyo ina maana sawa?
Average ya marks za nini?hapana si sawa...
hapa wanacho jaribu kutazama ni average ya marks kati ya vyuo vya 40% na 50%
Average ya marks za nini?
*Mbona vijana mna matatizo ya kujieleza?
Mkuu darius, hata vyuo vyenye kozi Ambazo unadai ni ngumu average ni 50% , kozi kama ll,b, engineering,bvm,accounting&finance ,
Kama umesoma elimu ya chuo unaelewa nini kinacho maanishwa.
Labda sijasoma elimu ya chuo, kwa hiyo sina haki ya kuelewa hii mada?
Kwa vile mimi sikufanikiwa kuingia chuo kikuu basi hata mambo yanayotokea huko ndio sitakiwi kuyajua?
Na hata kama nimesoma chuo, haina maana kilichoandikwa hapa kinaeleweka
Average ya marks za nini?
Kwenye kuingia chuo? Kwenye kupasi kwa kila somo? Kwenye kuruhusiwa kuingia mwaka mwengine wa masomo kwa average ya masomo yote?
Average marks za kitu gani?
OyA wakuu tulieni changieni thread

nafikiri hapo kwenye green ndio kinacho bishaniwa hapa..