Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

Kale kandege kakifyatuka ndo kanaelekea wapi au huwa kanapeleka mahesabu?

Sasa kuna kale kanalipuka boom hadi kanatoa cheche sijui mnakaita super hell, hako kakipasuka na moyo unapasuka
 
Tushazungumzia sana humu khs huo mchezo
Kuna kesi nliletewa na mshkaji wangu yuko huko bongo mdg wake ni daktari
Kaliwa pesa sana kauza hadi gari vitu vya ndani nk
Kuna wakili mmoja naye yamemkuta hko
Na wote wako depressed
Ndg walijua labda Kuna jambo limewakuta maana afya akili zao zmedhoofika
Kuchunguza kumbe wanacheza kindege
Hyo daktari mpk ameingia kwenye madeni makubwa
Hapo sasa na mm ndy nkaijuwa kindege aviator
Maana ss wengine kamari iko mbali kabisa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…