Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

Yeah sasa mtu unaenda kwenye kamari na laki 5 ikiliwa sasa hapo umefilisika nini🤣
Kuna wakat fulani mchina aliingia mwenyewe kwenye
Mtaro wa pembeni ya shule ya feza na gari alphard hajalewa wala nini
Kwenye kumtoa tunamwambia shivooo vp
Anatikisa kichwa tu,kumbe alitoka casino kaliwa pesa za kutosha mpaka kadata

Ova
 
Bwashee siku ukila hata ka laki niite mbwa , tena vyenye haujui hata mpira😅😅
Ahahahaha ndo naenda stake kwa hasira dadek

Umenipa hasira we jamaaaa
Aiseee leo na stake buku iwa ajiri yako na nikishinda hiii wallah utokaa kwa amani humi jf

Na stake hapa 😬😬😬😬😬😬
 
Nilijaribu siku moja ,jitu bandia akaleta noma nikajua huyu tayari ameshalogwa🤣🤣🤣🤣
Huko kuna viliooo imewafanya watu wame data
Haijalishi wee dokta wakili mhasibu nk wanapigwa tu

Ova
 
Kuna wakat fulani mchina aliingia mwenyewe kwenye
Mtaro wa pembeni ya shule ya feza na gari alphard hajalewa wala nini
Kwenye kumtoa tunamwambia shivooo vp
Anatikisa kichwa tu,kumbe alitoka casino kaliwa pesa za kutosha mpaka kadata

Ova
Mdogo wangu wa damu kabisa , ananiomba ushauri kisa jogoo hapandi mtungi wa stress za kubeti dogo kuliwa mpaka mil 10 ni kawaida kwake😅

Na siku hizi naona mke wangu ananishirikisha mambo ya dogo kisa kamari😜😜
 
ndoto za vijana zinaangamia kwa kindege ni hatari. Nawashukuru sana wote mlionipa nguvu chanya wakati naziihitaji hakika JF ni nyumbani. Epuka kamari kwa nguvu na akili zako zote
 
Ahahahaha ndo naenda stake kwa hasira dadek

Umenipa hasira we jamaaaa
Aiseee leo na stake buku iwa ajiri yako na nikishinda hiii wallah utokaa kwa amani humi jf

Na stake hapa 😬😬😬😬😬😬
Hahaha kuna siku nilicheza casino kwenye maulevi sema nilitusua bwashee 🤣
 
Mdogo wangu wa damu kabisa , ananiomba ushauri kisa jogoo hapandi mtungi wa stress za kubeti dogo kuliwa mpaka mil 10 ni kawaida kwake😅

Na siku hizi naona mke wangu ananishirikisha mambo ya dogo kisa kamari😜😜
Aviator haifai,nlikuwa sjui nlipoletewa kesi,ila badaye nlitajiwa msululu wa watu waliyopigwa na kupoteza hela
Watu na proffesion zao nkabaki hoi

Ova
 
Wewe ndio umeliwa kitajiri angalau , sio mtu analiwa kilaki anatetemeka halafu anajiita mkamaria🤣🤣
Ukipiga unapiga
 

Attachments

  • WA_1774274608237.jpeg
    WA_1774274608237.jpeg
    28.3 KB · Views: 30
Betting, kuna wakati pia inaokoa

Watu kama Sativa, taivina,Hanscana na Creez favor hawawezi kukuelewa swala la kubet
 
Back
Top Bottom